Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Usiombe hiyo hali japo yeye alifanikiwa kuingia
Ila wapo pia wanaotelekezwa na kisha kuzuiwa kuingia hivi anashuhudia wenzao wanaingia kama ilivyonitokea baada ya kutelekezwa pia
 
Hii ya kujifanya shoga inalipa sana siku hizi mambele

Ningekuwa kidume tayari ningejigeuza cocastic nile bata Canada

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna dogo alipofika Sweden akajiandikisha kama Shoga. So akawa anapata pesa na matibabu toka social welfare... baada ya kama miezi sita hivi Askari wa uhamiaji ambae ndo aliprocess asylum papers akaja mchana mmoja na maua pamoja na pete kumchumbia....🤣
 
Usiombe hiyo hali japo yeye alifanikiwa kuingia
Ila wapo pia wanaotelekezwa na kisha kuzuiwa kuingia hivi anashuhudia wenzao wanaingia kama ilivyonitokea baada ya kutelekezwa pia
Pole sana mkuu alafu ikutehuna kitu mfukoni
 
Back
Top Bottom