NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Umeyaona ya Simba tu lakini litimu lako na Kagera hujaona. Tulieni dawa itawaingia fresh tu mbonaBado Kuna Changamoto kubwa sana katika kikosi Cha Simba sc.
Kinachoendelea ndani ya kikosi ni uhuni wa wazi wazi, wachezaji wapya waliokuja hawana tofauti na wale waliotolewa(achwa) ndani ya kikosi Cha Simba sc.
Kocha Benchikha alituma Mapinduzi cup Kama michuano ya kufanya mazoezi (kutengeneza fitness) kwa wachezaji lakini hakuna kitu walichogain /hakuna mabadiliko.
Kwa kikosi hiki Simba sc kuchukua kombe labda /kuwafunga Azam labda makosa ya kibinadamu kwa marefa yatumike tofauti na hapo Simba sc itaangukia pua nafasi ya nne au Ya tatu.
Simba sc ipo mikononi mwa TFF na Bodi ya ligi.
Tutawaomba Bodi ya Ligi wakishirikiana na chama Cha marefa, mechi zetu zote mwamuzi wa kati tupangiwe mwanamama TATU MALOGO.Bado Kuna Changamoto kubwa sana katika kikosi Cha Simba sc.
Kinachoendelea ndani ya kikosi ni uhuni wa wazi wazi, wachezaji wapya waliokuja hawana tofauti na wale waliotolewa(achwa) ndani ya kikosi Cha Simba sc.
Kocha Benchikha alituma Mapinduzi cup Kama michuano ya kufanya mazoezi (kutengeneza fitness) kwa wachezaji lakini hakuna kitu walichogain /hakuna mabadiliko.
Kwa kikosi hiki Simba sc kuchukua kombe labda /kuwafunga Azam labda makosa ya kibinadamu kwa marefa yatumike tofauti na hapo Simba sc itaangukia pua nafasi ya nne au Ya tatu.
Simba sc ipo mikononi mwa TFF na Bodi ya ligi.
Huyu mwana mama tutamzalisha subirini tuu aendeler uj...i..n..ga wakeTutawaomba Bodi ya Ligi wakishirikiana na chama Cha marefa, mechi zetu zote mwamuzi wa kati tupangiwe mwanamama TATU MALOGO.
Tafuta hela kisha tengeneza NALIA NGWENA SC yenye kukabiliana na kila changamoto.Bado Kuna Changamoto kubwa sana katika kikosi Cha Simba sc
PUNGUZA MAKASIRIKO MKUU.Tafuta hela kisha tengeneza NALIA NGWENA SC yenye kukabiliana na kila changamoto.
Mambo ya Simba waachie wenye pesa zao walioziwekeza huko.
Tafuta hela babu uanzishe timu yakoPUNGUZA MAKASIRIKO MKUU.
Tafuta hela babu uanzishe timu yako
Kudharirika ndyo nn we nguchiro????Bado Kuna Changamoto kubwa sana katika kikosi Cha Simba sc.
Kinachoendelea ndani ya kikosi ni uhuni wa wazi wazi, wachezaji wapya waliokuja hawana tofauti na wale waliotolewa(achwa) ndani ya kikosi Cha Simba sc.
Kocha Benchikha alituma Mapinduzi cup Kama michuano ya kufanya mazoezi (kutengeneza fitness) kwa wachezaji lakini hakuna kitu walichogain /hakuna mabadiliko.
Kwa kikosi hiki Simba sc kuchukua kombe labda /kuwafunga Azam labda makosa ya kibinadamu kwa marefa yatumike tofauti na hapo Simba sc itaangukia pua nafasi ya nne au Ya tatu.
Simba sc ipo mikononi mwa TFF na Bodi ya ligi.
Yule wa juzi aliyewabeba utopolo na kuwanyima Kagera goli halali hamumtaki?Tutawaomba Bodi ya Ligi wakishirikiana na chama Cha marefa, mechi zetu zote mwamuzi wa kati tupangiwe mwanamama TATU MALOGO.
Mbovu mno?MIMI NI SHABIKI MSTAAFU WA SIMBA.
HIYO TIMU MAGUMASHI.
MBOVU MNO.
Wala usipate Mateso ya kuiandika kila siku.
RIP. ZAKARIA HANSPOPE.
Shida ya simba ni saido kutumika km namba 10 Dk zote 90MIMI NI SHABIKI MSTAAFU WA SIMBA.