Kuna makosa ya kibinaadamu na Kuna makosa ya MPESA .Yule wa juzi aliyewabeba utopolo na kuwanyima Kagera goli halali hamumtaki?
Usisahau na mahaba Niue na maelekezo kutoka kwa Alshabab "KALIA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna makosa ya kibinaadamu na Kuna makosa ya MPESA .Yule wa juzi aliyewabeba utopolo na kuwanyima Kagera goli halali hamumtaki?
Kwa hiyo huyu aliyewanyima Simba penati baada ya Jobe kuchezewa rafu ni makosa ya Mpesa kutoka kwa Injinia?Kuna makosa ya kibinaadamu na Kuna makosa ya MPESA .
Usisahau na mahaba Niue na maelekezo kutoka kwa Alshabab "KALIA"
DUH [emoji16]Kwa hiyo huyu aliyewanyima Simba penati baada ya Jobe kuchezewa rafu ni makosa ya Mpesa kutoka kwa Injinia?
[emoji16]Kuna makosa ya kibinaadamu na Kuna makosa ya MPESA .
Usisahau na mahaba Niue na maelekezo kutoka kwa Alshabab "KALIA"
Ni makosa ya kibinaadamu tu hayo.Kwa hiyo huyu aliyewanyima Simba penati baada ya Jobe kuchezewa rafu ni makosa ya Mpesa kutoka kwa Injinia?
Kwa hiyo makosa yakiinufaisha Simba yanakuwa makosa ya Mpesa lakini yakiiumiza Simba yanakuwa ya kibinadamu?Ni makosa ya kibinaadamu tu hayo.
Makosa yasiyo ya kibinaadamu ni yale yanayotokea zaidi ya mara moja kwa mechi moja au au mara kwa mara kwa mechi tofauti kwa mnufaika mmoja.
Vigezo na masharti nimeshakupa, pitia tena utaelewa tu.Kwa hiyo makosa yakiinufaisha Simba yanakuwa makosa ya Mpesa lakini yakiiumiza Simba yanakuwa ya kibinadamu?
Hayo makosa ya kibinadamu kila mechi ndo upuuzi tusiotaka,makosa ya kibinadamu lakini kila mechi inacoast timu mbalimbaliNi makosa ya kibinaadamu tu hayo.
Makosa yasiyo ya kibinaadamu ni yale yanayotokea zaidi ya mara moja kwa mechi moja au mara kwa mara kwa mechi tofauti kwa mnufaika mmoja.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]MIMI NI SHABIKI MSTAAFU WA SIMBA.
HIYO TIMU MAGUMASHI.
MBOVU MNO.
Wala usipate Mateso ya kuiandika kila siku.
RIP. ZAKARIA HANSPOPE.
PumbaMashabiki wa mangungu fc awajielewi kabisa Yani, kiufupi Awana timu kwa sasa ya kushindana na yanga na Azam kwa ubora uwanjani, awataki kukubali ukweli but ukweli unarefrect kinachotokea uwanjani, Azam Wana timu imara na wanao uwezo wa kushika nafasi ya pili bila shida yoyote, angalia ilikuwa ndo mechi yao ya kwanza kutoka mapumziko marefu ya mwezi mzima awakuwa na match fitness yoyote lakini wamefanya matukio hatari zaidi kwenye lango la Simba ambayo ilicheza mapinduzi yote, ikacheza FA, ikacheza mechi 2 za ligi kuu kwa maana tiyali walikuwa na match fitness ya kutosha kuliko wenzao but kiwango Chao ndio kile vipi wangekutana na Azam ile iliyopigwa na yanga goli 3-2 wangechomoka awa??
Na TFF walichezwa na machale wakaona waepushe dhahama nyingine waahirishe mechi ili angalau wajipange kwa kusajili kusitiri aibu na vurugu ambazo zingepelekea kina mangungu na wenzake kuishi kwa tabu!
Badala ya kuinanga timu yao kukosa ubora wao wanakimbilia kwa refa wakati marefa hao hao wamewapa point 9 za dhulma kwenye ligi, mechi ya singida, mechi ya Prison mechi ya kmc zote walibebwa sikuona kolo yeyote akiandamana kupinga ule ujinga Bali kauli zao zilikuwa ni " Kama mmeumia nendeni polisi""
Sasa inakuwaje waandamane na ata uwezo wa kumfunga uyo Azam Awana?
Viongozi wao wanacheza na akili zao walinunua mechi ya Tabora united ili kuwaridhisha waone wanacho kikosi imara, wakachukua matokeo ya mechi na Tabora wakaja nayo uwanjani wakijua kilichotokea kule ndio uhalisia kumbe ilikuwa ni kanyabwoya timu ni Ile Ile ya unga unga mwana!
Ujinga mwingine ni kuwaachia wajinga ujuana kwa vilemba!!