Nilivyowaona Simba sc dhidi ya Mashujaa, TFF na Bodi ya ligi wasiposogeza Ratiba ya Simba sc vs Azam Kuna timu itadharirika

Hawa marefa wawe wanaachana na mapenzi kwa timu nasoro mwinchumu kaona kibu kajibwaga kaweka tuta ila mashujaa wangefanya hivyohivyo wangekula card
 
Kagera sugar vs Yanga matokeo please
 
Hawa marefa wawe wanaachana na mapenzi kwa timu nasoro mwinchumu kaona kibu kajibwaga kaweka tuta ila mashujaa wangefanya hivyohivyo wangekula card
Umejuaje nabii?
 
MIMI NI SHABIKI MSTAAFU WA SIMBA.

HIYO TIMU MAGUMASHI.

MBOVU MNO.

Wala usipate Mateso ya kuiandika kila siku.


RIP. ZAKARIA HANSPOPE.
Anzisha ya kwako.

Najua hampendi kuambiwa hivi, ila ukitaka timu nzuri unayoitaka wewe, anzisha ya kwako usajili na kuiendelsha unavyotaka .

Na ikibidi uwe kocha mchezaji kabisa.
 
Nchi ngumu hii asikwambie mtu..!

Yaani wewe fikiria timu yako imepata sare ambayo ni mpaka pale Marefa walipoingilia kati La sivyo ungepoteza...!

Sasa badala ya kujadili timu yako na ule Usajili Wa Wale mabalozi wa Konyagi na wengine kina Gwede gwede mtu anakomaa na Timu iliyoshinda, tena Ugenini..!

Tutafika tu,ila tukiwa tumechoka

Na: Kinje Ketile
 
Nchi bado ngumu sana [emoji16]
 
MIMI NI SHABIKI MSTAAFU WA SIMBA.

HIYO TIMU MAGUMASHI.

MBOVU MNO.

Wala usipate Mateso ya kuiandika kila siku.


RIP. ZAKARIA HANSPOPE.
Sijakusoma muda nikajua ni maswali ya utafutaji na kujitafuta, nashangaa nakutana na comment yako hii!! Upo serious kwamna umejiuzuru?
Mimi mashauri ungerudi tu, maana Chama amesharudishwa kwenye timu.
 
Sawa 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…