Nilivyozidiwa kete na mganga wa kwenye kipeperushi

Nilivyozidiwa kete na mganga wa kwenye kipeperushi

Unalipa tiketi ya ndege,unakula bata za kibabe, afu unaishi kwenye chumba chenye KOMEO[emoji23][emoji23]
 
😅😅😅Ko nyie mnatakaje yani....
Ni hivi, wezi wako nimewaona huku Ukerewe mtaa wa sungura mmoja amejitwisha litivii likuuuubwa na mwingine anasabufa amechomeka flash wanazurura mtaani wakiwa wanapiga mziki
 
Umepigwa kifala sana, ukikutana na matp wa kinigeria wew, utawatumia mpaka boxer ya ndan
 
Ebaaanae😳😳😳😳umenifungua macho sasa. Et una hela unakaa nyumba haina geti ni mlango wa kawaida tu afu unafungwa kwa kofuli ambalo hata anaejifunza wizi anaweza tu kulifungua tena kwa urahisi kabisa
Kibaya zaid anakaa chumba kimoja🤣
 
Arsenal wamechana mkeka wangu
Wkati mwingine timu inashindwa unaona mtu kakasirika ukidhani ni shabiki kumbe kuna mengine... Na timu inayochana mkeka kizembe inakera kweli kweli. Ukiwa uwanjani kama una rungu unaweza kuwakung'uta wachezaji.
 
Nimedhalilika sana nimejiskia vibaya sana nimeogopa sana!!
Kuna sehemu huwa napenda kwenda kutulia na kunywa.
Leo nimefika hapo sababu ni jpili nikakuta kimya sana..nikasogea kimachale ya kilevi!!
Nikawa naita muhudumu kama nilivyozoea!
Ajabu akatokea kibabu kizee ambacho nilisikia kiliumwa sana kikafa na wakazika!!
Maana last time napita hapo huyu babu alikuwa analishwa na mipira na covid imetambaa balaaa..mi kimawazo ya kipombe sababu hapo ni bar nikajua mzee alishanyooka!
Huyu babu ametoka nikataka kukimbia!!
Mawazo yakawa mengi sana labda hata mi nishakufa sijajua tuu!!huyu dingi si alikufa au??!!kipombe nikamuuliza tu mzee hivi we ni mzima!!
Wazee hawapendi kufa asee ameniletea kwere hadi nikaamini kweli ni mzima..mwisho mzee hadi akatoa ubooo kabisa ili niamini hakufa..

Siriaz siku yangu imekuwa mbaaya sana!!

Ulishawahi kusikia mtu alikufa kisha ukaonana nae live??!kama uliwahi utajua ninachosema hapa
 
Mtu anayepanda ndege hawezi kuandika Ko badala ya Kwa hiyo
Mkuu, ndege ni usafiri tuu kama unavyo chagua kupanda basi au boti. Hakuna tofauti kati ya mpanda ndege na mpanda basi. Mtu ambaye hajawahi kupanda ndege (kama wewe hapo) hudhani ndege wanapanda watu special mno. Hebu jichange basi upande kwenda popote hata one way tu ufute huo ukungu kwenye fikra zako. Ni rahisi sana kupata tiketi ya ndege kuliko hata ya basi. Ni wewe tuu na mfuko wako.
 
Wanahisi kupanda ndege mpaka uwe na elimu,pia ujue lugha ya malkia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] poleeee
 
Back
Top Bottom