Niliwaambia acheni hizo tabia za kumsifu binadamu kama Mungu sasa mmejionea wenyewe !

Kiko wapi.

Hakuna kwenda nje
Hakuna favor
Utalii umeshuka Sana
Mialiko imekuwa adimu sana


Na mwisho unaelekea kukabidhi kijiti Kama utani .
Naomba ni tumie neno la Mzee wa kwa maslahi ya taifa "Karma"
 
Tule tu vijana twa chama hatuwez kuelewa kuhusu hili πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Tumefungua tayari. Na sasa, strategically tunafungaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kelele nyingi mama amefungua nchi mara ghafla akaanza lusema sisi ni nchi huru wasitupangie then akasema wale waliokuwa wanatupatia 200 mia mbili hawatupi tena jamani mlipe kodi. Nikasema anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…