Niliwaambia acheni hizo tabia za kumsifu binadamu kama Mungu sasa mmejionea wenyewe !

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kelele nyingi mama amefungua nchi mara ghafla akaanza lusema sisi ni nchi huru wasitupangie then akasema wale waliokuwa wanatupatia 200 mia mbili hawatupi tena jamani mlipe kodi. Nikasema anaupiga mwingi

Mdogo mdogo tunakwenda. Labda tutafika salama tunakokwendaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii michadema wakati mwingine ni zaidi ya mihanithi, inaongea ugiggy money ugiggy money tuuuuu km milafa!
Iko hv, hilo takwa lenu ovu Mwenyezi Mungu ameshalikataa kitambo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…