Niliwahi andika natafuta mganga

Niliwahi andika natafuta mganga

5B3BB058-D1E4-46BA-B6AE-E450AD0034FC.jpeg
 
Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu.

Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli sijui yamesikika maana

Juzi hapa nilikuwa kwenye daladala nikaona karibu na car wash ya ndugu yangu Niko hapo pakuingilia naita wateja nakuwaelekeza pakupaki ili yaoshwe uzuri ni mtu alikuwa anashuka na kumlipa nauli konda maeneo hayo karibu na hiyo car wash nikaona vyema nimevaa gauni nyeupe na suruali nyeusi walahi sijaamini nimechoka tokea hiyo siku mpaka naleo Niko Njia panda nimeenda hospitali naumwa balaa Leo sioni vizuri . I think mshuko just imagine upo kwenye daladala na bado upo hapo unafanya kazi ya kuita wateja na kuwapa mwongozo . Huyo shetani nashangaaga ananifuatiaga sana Tena pale nikiwa nimetoka mahali kutibiwa kumbe nimejua natolewa hapo narudishwa Tena.

Nimeishiwa nguvu hapa naandika huenda ndio nakosa pumzi mazima , yaani nimeteseka kurudi kwenye track, napia najitajidi kila kazi kasoro kujiuza naambuliwa kuambiwa nimwanaume mwenye nyota Yako mie nilizania wachumba na piga vibuto weh kumbe ni huyu ndugu yangu kanifanya msukule aisee inauma halafu nimejiona nimechana nywele hadi Raha. Niko very nice naita wateja aisee. Ila sio msafi Wala nipo tu .

Hayo maombi ni 6g aisee acha tu.

Maisha haya unadhani hili kumbe lile My family wamewasaidia hao wajinga hao hadi wakamaliza shule ila wao Sasa wakatuchukulia maisha without knowing.

Sijui niende kwenye maombi au niende kuchukua nyota yangu Kwa yule jamaa walindi???

Maana ndio alisema mbuzi wawili,na mambo Mengi arudishe hiyo kitu mie nilikataa alisema Kuna mahali nipo aisee siku mwamini.

Ila sijaolewa Kisa wao umri umeenda Kisa wao muda wakujidai umepita Kisa wao Kwa maana nawajua wengi tu.

Ila Kwa huyu aisee ameniweza sana .
Sijaelewa
 
Sorry mleta mada unatumia bange gani?
 
Hii post na ile ya Pandora box iliyotafsiriwa na Google translate ni sawa

Patupu 😂😂 unavyozidi kusoma ndo unapoteza network
 
Hii kiswahili ya wamongolii na wagagagikoko, pole sana nakushauri endelea na maombi kwa mganga usirudi atazidi kukuharibu ubongo
 
Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu.

Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli sijui yamesikika maana

Juzi hapa nilikuwa kwenye daladala nikaona karibu na car wash ya ndugu yangu Niko hapo pakuingilia naita wateja nakuwaelekeza pakupaki ili yaoshwe uzuri ni mtu alikuwa anashuka na kumlipa nauli konda maeneo hayo karibu na hiyo car wash nikaona vyema nimevaa gauni nyeupe na suruali nyeusi walahi sijaamini nimechoka tokea hiyo siku mpaka naleo Niko Njia panda nimeenda hospitali naumwa balaa Leo sioni vizuri . I think mshuko just imagine upo kwenye daladala na bado upo hapo unafanya kazi ya kuita wateja na kuwapa mwongozo . Huyo shetani nashangaaga ananifuatiaga sana Tena pale nikiwa nimetoka mahali kutibiwa kumbe nimejua natolewa hapo narudishwa Tena.

Nimeishiwa nguvu hapa naandika huenda ndio nakosa pumzi mazima , yaani nimeteseka kurudi kwenye track, napia najitajidi kila kazi kasoro kujiuza naambuliwa kuambiwa nimwanaume mwenye nyota Yako mie nilizania wachumba na piga vibuto weh kumbe ni huyu ndugu yangu kanifanya msukule aisee inauma halafu nimejiona nimechana nywele hadi Raha. Niko very nice naita wateja aisee. Ila sio msafi Wala nipo tu .

Hayo maombi ni 6g aisee acha tu.

Maisha haya unadhani hili kumbe lile My family wamewasaidia hao wajinga hao hadi wakamaliza shule ila wao Sasa wakatuchukulia maisha without knowing.

Sijui niende kwenye maombi au niende kuchukua nyota yangu Kwa yule jamaa walindi???

Maana ndio alisema mbuzi wawili,na mambo Mengi arudishe hiyo kitu mie nilikataa alisema Kuna mahali nipo aisee siku mwamini.

Ila sijaolewa Kisa wao umri umeenda Kisa wao muda wakujidai umepita Kisa wao Kwa maana nawajua wengi tu.

Ila Kwa huyu aisee ameniweza sana .
Ila jamaa ana roho nzuri, mpaka kauchana nywele msukule wako. Tunaowaona kwenye movie huwa hawatazamiki🤣🤣
 
tumia mafuta ya mzeituni changanya na nazi na ukipata ka inj kidogo sema kama ni kweli mtu anayekufanyia ubaya anaweza kukata moto fasta hachukui hata raundi unaaanzakurudi kwenye reli, siis huku kigoma huwa watu hawatusumbui hovyo
 
Back
Top Bottom