Niliwahi kosea jambo hili kwa Mwanamke, leo sitaki rudia. Naombeni msaada

Yani uwe na harufu ya kisamaki na uende hospitali wakwambie hauna tatizo??au alienda kupima uti tu??
 
Sasa mbona kama amepaniki sana wakati ni suala la kushare na kupata experience? Mtu anapoomba ushauri kama hana cha kushauri anasoma anaacha siyo kupandisha mashetani
Ha haaa haa kapata uchungu
 
Aloweke karafuu awe anakunywa kila Mara
Pia mtindi awe anakunywa inasaidia sana kuboresha kwa bibi
Naona shoga yako lamomy kakuachia kilinge na ujuzi unaufanyia kazi vizuriiiii 😂😂
 
Naona shoga yako lamomy kakuachia kilinge na ujuzi unaufanyia kazi vizuriiiii 😂😂
Upande huu nipo vizuri pia we niandalie shamba darasa tu nitakuja nitoe semina bure kabisa 🤣🤣
 
Apo Dawa ni kuacha zinaa, na hiyo kero hutoisikia tena Mkuu
 
Kwahiyo unataka ushauri!!?? Aisee, hii nchi upumbavu ni mwingi. Yaani unampekenyua mqundu mwenyewe then unakuja kutulalamikia sisi!? Ulitaka ukutane na nini huko mataqoni?
😂😂😂😂🙌
 
Dawa ya hiyo harufu ni kumfikisha....unamchezea unamlainisha unampapasa kunako maeneo....na baadhi ya milango ya fahamu...Kisha unapomhudumia hakikisha linatoka lile futa Zito mashallah hapo atakuwa amepona....vinginevyo utamsababishia maumivu ya mgongo.
 
Tuwaambie kwa upole na upendo. Itawasaidia kujihis vzr. "Doreen mpenzi wangu, leo sijasikia ile harufu nzuri ya K yake, uenda kuna infections nashauri twende hospital, samahani kama ntakuwa nimekukwaza, ila nafanya kwa faida yako na yangu pia mpenzi."
 
Demu kutoa harufu inachangiwa na kupigwa mashine sana na wanaume tofauti tofauti ma sperm yanachanganyikana ya kila aina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…