Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?


[emoji23][emoji23][emoji23] ila Wewe Jamaaaa bana
 
Aisee!
 
Ndio atupe mrejesho na wewe usome kwa makini tujaribu[emoji23][emoji23]
Na ndiyo nasubiri hapa kwa umakini kabisa atupe mrejesho sichezi mbali i dont wanna hurt you but to love , tuishi kwa raha life is too short for drama and depressions , happiness is by choice [emoji8]
 
Arusha Bange tupu. Unakamua femu mkavu Kama kamanda tu. Hawapo romantic kabisa
Wewe hujawahi kufika Arusha mkuu umezisikia story tu.

Bangi Arusha ipo ila sio kwamba inavutwa sana kama mnavyohadisianaga huko vijiweni, utawakuta wavutaji wawili tu katika vijana 10 wa Arusha, Binafsi nlikuea na washkaji kubao tu A town lakini waliokua wanakula mmea walikuwa wachache sana kama watatu tu

Kuhusu wasichana kuwa tomboys hizo nazo ni stori tu, mi nimesoma arusha na kuishi kwa miaka minne, nimejuana na wengi sana na baadhi yai hata kuwa na mahusiano nao sikuwahi kukutana na tomboy.

Tatizo mnapiga sana story za vitu ambavyo hamvijui
 
This is categorised as funny [emoji1787]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
nilisafisha sana geto, mama wa nyumba akawa anantania mbona nafanya sana usafi leo una mgeni wako nani [emoji23][emoji23], alikuwa maza moja poa sana inaonekana ujanani hakupitwa.
 
Nairudia kwa mara ya pili hii thread
 
Pole sana kwa kupigwa samsung s2 2013 ilikua 800k dah pole sana na 2013 mbona simu zilikua kibao zenye access ya inernet mm nilinunua samsun s3 450k ww s2 800k dah nishushe kwenye ungo wako
 
Pole sana kwa kupigwa samsung s2 2013 ilikua 800k dah pole sana na 2013 mbona simu zilikua kibao zenye access ya inernet mm nilinunua samsun s3 450k ww s2 800k dah nishushe kwenye ungo wako
Usilinganishe bei za vitu Arusha na mikoa mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…