Nilitowa ushauri itolewe elimu madhubuti kuhusu madhara ya kutochanja mbwa,kuacha mbwa wanazurula na iwe kampeni maalum.Nimeumia sana ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ mtoto wa miaka 15 amefariki leo kutokana na kuumwa na mbwa wiki3 nyuma.
Umasikini nao ni mbaya sana wazazi hawakuweza kumudu matibabu mfululizo wamempoteza mtoto.Nashauri mambo kama haya na tetenasi yawe ni bure kwenye vituo vyote vya serikali ba hospitali banafsi serikali iweke utaratibu wakuwalipa wenye vituo binafsi.Na huduma ipatikane hadi zahanatiðŸ˜ðŸ˜.