Nilitaka pia kuuliza .Huko kwenu TT mnalipia?
Nimeumia sana,si ndg yangu ila imeuma mtu anapoteza maisha kwa kuumwa mbwa!!!.😭Poleni Sana
ila CCM Tuitoe Madarakani
Ndiyo nini Tt,kama ni sehemu ya tiba malipo kama kawa,hata tetenasi unalipa.Nilitaka pia kuuliza .
Kuna mtu kanichek dm kwakuwa sinauzoefu sana sijuwi namna ya kumjibu kule.Alitaka kujuwa ni wapi huko.Ni manispaa ya Songea mtaa wa mshangano.Na mazishi nadhani yatafanyika kata jirani.Nilitaka pia kuuliza .
Umasikini mbaya sana mtu unapoteza maisha kwa kukosa hela kidogo tuu maskini mtoto kafa.😭Poleni Sana
ila CCM Tuitoe Madarakani
Nilitowa ushauri itolewe elimu madhubuti kuhusu madhara ya kutochanja mbwa,kuacha mbwa wanazurula na iwe kampeni maalum.Nimeumia sana 😭😭😭 mtoto wa miaka 15 amefariki leo kutokana na kuumwa na mbwa wiki3 nyuma.
Umasikini nao ni mbaya sana wazazi hawakuweza kumudu matibabu mfululizo wamempoteza mtoto.Nashauri mambo kama haya na tetenasi yawe ni bure kwenye vituo vyote vya serikali ba hospitali banafsi serikali iweke utaratibu wakuwalipa wenye vituo binafsi.Na huduma ipatikane hadi zahanati😭😭.
nimejiuliza pia, ni wapi atuambieHuko kwenu TT mnalipia?
Serikali ichanje mbwa, misri mabwana mifugo huchanja mbwa kwa mabomba,wanapuliza sindano kama wavietnam na RamboNilitowa ushauri itolewe elimu madhubuti kuhusu madhara ya kutochanja mbwa,kuacha mbwa wanazurula na iwe kampeni maalum.Nimeumia sana 😭😭😭 mtoto wa miaka 15 amefariki leo kutokana na kuumwa na mbwa wiki3 nyuma.
Umasikini nao ni mbaya sana wazazi hawakuweza kumudu matibabu mfululizo wamempoteza mtoto.Nashauri mambo kama haya na tetenasi yawe ni bure kwenye vituo vyote vya serikali ba hospitali banafsi serikali iweke utaratibu wakuwalipa wenye vituo binafsi.Na huduma ipatikane hadi zahanati😭😭.
Ni wiki3-4 toka ameng'atwa .Amefariki kutokana na hilo.Je, Amefariki kutokana na Majeraha ya kung'atwa na Mbwa au amefariki Kutokana na Ugonjwa wa Kichaa Cha Mbwa baada ya kung'atwa na mbwa?
Tafadhali fafanua.
Kama ni kutokana na kichaa Cha mbwa, naona kama vile amefariki mapema Sana, muda mfupi Sana baada ya kung'atwa na mbwa. Kwa kawaida ni kuanzia muda wa angalau miezi 2 baada ya kung'atwa na mbwa na bila kupata chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kichaa Cha mbwa.