Niliwahi kufanya kazi ofisi moja, mke wa mtu ambaye ni mtumishi wa serikali akanitrap

bwawani90

Senior Member
Joined
Dec 20, 2025
Posts
147
Reaction score
284
Kufanya stori iwe fupi
Huyu nitampa jina la Mfp, mumewe alifanya kazi benk flan sitaitaja, mrembo cheusi flan, kakikuwa na matatizo ya kiafya kakaomba light work na mambo kadhaa.

Ni mara kwanza kumuona alidai yeye ananifaham na mifano ya maeneo tukopishana.

Basi nikaona tu huu ni mtego, Kwa haraka haraka nilikumbuka usidhani hujulikani. Mara tukaahidiana kuonana, kukaonana twice.

Mara ya tatu aliniita gest. Na hapo #(+6*6@$& sasa kadri siku na miaka inavyosogea, naona anabadilika, na mwanamke akianza kukupa habar za mumewe hapo ujue kunawaka moto.

Akaanza kuniletea zawadi. Kuna muda anakuletea pesa 1ml niweke, alifikia hatua akakodi Chumba sirisiri akaweka Kila kitu ndani akanionyesha, na kunitaka nikitoka kazini nianzie hapo. Baada ya wiki mbili tatu ndipo niligundua Chumba kile ni danguro. Na ni chake.

Ilinilazimu nimfanyie uchunguzi. Mjamaa ana shida ya uzazi na anachotafuta ni mtoto.

Wanawake ni viumbe hatari sana, kumbe ulikuwa mtego.

Ishini nao kwa akili

1000235181.jpg

1 Petro 3:7 “Kadhalika ninyi waume, KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.”
 
View attachment 3526427​

Na wewe una matatizo ya uzazi.. Umepitisha miaka bila kumpa mimba na mamilioni anakupa!!!!! Nitumie namba yake nkuoneshe kazi.
 
Tatizo la uzazi lina tatuliwa na watu wote wawili, mme na mke kwa pamoja, wakiume akisema hana tatizo anadanya, wakike akisema hana tatizo ana danganya pia. Otherwise utoke nje kuzini na unaweza usipate mtoto vile vile.

Shida ni kulitatua kwz pamoja, ni rahisi zaidi, kuliko kutoka nje.
 
Kufanya stori iwe fupi
Huyu nitampa jina la Mfp, mumewe alifanya kazi benk flan sitaitaja, mrembo cheusi flan, kakikuwa na matatizo ya kiafya kakaomba light work na mambo kadhaa.

Ni mara kwanza kumuona alidai yeye ananifaham na mifano ya maeneo tukopishana.

Basi nikaona tu huu ni mtego, Kwa haraka haraka nilikumbuka usidhani hujulikani. Mara tukaahidiana kuonana, kukaonana twice.

Mara ya tatu aliniita gest. Na hapo #(+6*6@$& sasa kadri siku na miaka inavyosogea, naona anabadilika, na mwanamke akianza kukupa habar za mumewe hapo ujue kunawaka moto.

Akaanza kuniletea zawadi. Kuna muda anakuletea pesa 1ml niweke, alifikia hatua akakodi Chumba sirisiri akaweka Kila kitu ndani akanionyesha, na kunitaka nikitoka kazini nianzie hapo. Baada ya wiki mbili tatu ndipo niligundua Chumba kile ni danguro. Na ni chake.

Ilinilazimu nimfanyie uchunguzi. Mjamaa ana shida ya uzazi na anachotafuta ni mtoto.

Wanawake ni viumbe hatari sana, kumbe ulikuwa mtego.

Ishini nao kwa akili

View attachment 3526427​

1 Petro 3:7 “Kadhalika ninyi waume, KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.”
Mjomba, naona uandishi siyo kipaji chako! Yaani ulichokiandika hapa, ni wewe tu mwenyewe ndiyo unakielewa.
 
Iwapo ni pombe uwe unakula kwanza....kwa upande wa bangi kuna uwezekana ukapata kichaa.
 
Back
Top Bottom