HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 1,178
- 2,131
Nipasie Namba Yake Kama Hutojali...
hahahahkiheremswede
Kufanya stori iwe fupi
Huyu nitampa jina la Mfp, mumewe alifanya kazi benk flan sitaitaja, mrembo cheusi flan, kakikuwa na matatizo ya kiafya kakaomba light work na mambo kadhaa.
Ni mara kwanza kumuona alidai yeye ananifaham na mifano ya maeneo tukopishana.
Basi nikaona tu huu ni mtego, Kwa haraka haraka nilikumbuka usidhani hujulikani. Mara tukaahidiana kuonana, kukaonana twice.
Mara ya tatu aliniita gest. Na hapo #(+6*6@$& sasa kadri siku na miaka inavyosogea, naona anabadilika, na mwanamke akianza kukupa habar za mumewe hapo ujue kunawaka moto.
Akaanza kuniletea zawadi. Kuna muda anakuletea pesa 1ml niweke, alifikia hatua akakodi Chumba sirisiri akaweka Kila kitu ndani akanionyesha, na kunitaka nikitoka kazini nianzie hapo. Baada ya wiki mbili tatu ndipo niligundua Chumba kile ni danguro. Na ni chake.
Ilinilazimu nimfanyie uchunguzi. Mjamaa ana shida ya uzazi na anachotafuta ni mtoto.
Wanawake ni viumbe hatari sana, kumbe ulikuwa mtego.
Ishini nao kwa akili
View attachment 3526427
1 Petro 3:7 “Kadhalika ninyi waume, KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.”