Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
OkUsimsingizie aisee.Mbona sura yake ni very innocent!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkUsimsingizie aisee.Mbona sura yake ni very innocent!?
UNAULIZA MAJIBU?Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu. Niliowataja hapo juu
Kiukweli upatikanaji wa PhD zao hata Profesa Mark Mwandosya alitia neno kama nilivyotia mie yakuwa nilikuwa na MASHAKA PhD zile zilikuwa ni za MCHONGO kwa maana ni za kununua.
Mimi ninajiuliza msomi wa ngazi ya PhD unawezaje kuuunda team kwa Ajili kuchunguza kama kweli Kuna wamachinga wa kichina Kariakoo na kwingineko?
Unawezaje kuuunda team kuchunguza yakuwa wanyasa ndo wanaongoza kuwa mahouse girl Masaki na Oystebay hapo Dsm kisa wanajua kingereza kuliko wazaramo dadazake na Jafo?!
Mh Rais anasema kuna changamoto hiyo hilo nalo mkalitizame 😂😀🥰wewe unalitizama kwa kuunda team?
Waziri mwenye PhD unashindwa siku Moja kwenda Kariakoo ukajionea kisa una PhD?! Hivi implication ya elimu zenu katika taifa ni hipi?
Kuna PhD nyingi serikalini lakini zipo kwa Ajili ya mshahara na kupanda kwa magred, na kutafuta pensheni kubwa baada ya kustaafu lakini Hazina tija kwa taifa ndio maana mtu mwenye masters au degree Moja anaweza kuwa msaidizi wa Rais na akamzuia Profesa ambae ni Waziri kumwona Rais this is Tanzania of today😂🤣😆😄😃😁😀😀😃😄😁😆😅😂🤣😭🤩I love U!
Yangu OG hiiPhD za mchongo! Ok, money talk.
Wachina wengi biashara zao wanaingia ubia na ccm. Hivyo team kuundwa ni kulinda maslahi ya chama. Utaniambia kama hiyo timu italete taarifa yoyote ya maanaHapo zitapigwa balaa, wachina hawajulikani mpk kamati iundwe?
Ndugu yangu, siyo kwamba hawaelewi! Hiyo aina nyingine ya upigaji! Zitatumika bilioni nyingi tu kwa ajili ya hiyo tume! Hiyo ndiyo maana ya kula kwa urefu wa kamba!Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu. Niliowataja hapo juu
Kiukweli upatikanaji wa PhD zao hata Profesa Mark Mwandosya alitia neno kama nilivyotia mie yakuwa nilikuwa na MASHAKA PhD zile zilikuwa ni za MCHONGO kwa maana ni za kununua.
Mimi ninajiuliza msomi wa ngazi ya PhD unawezaje kuuunda team kwa Ajili kuchunguza kama kweli Kuna wamachinga wa kichina Kariakoo na kwingineko?
Unawezaje kuuunda team kuchunguza yakuwa wanyasa ndo wanaongoza kuwa mahouse girl Masaki na Oystebay hapo Dsm kisa wanajua kingereza kuliko wazaramo dadazake na Jafo?!
Mh Rais anasema kuna changamoto hiyo hilo nalo mkalitizame 😂😀🥰wewe unalitizama kwa kuunda team?
Waziri mwenye PhD unashindwa siku Moja kwenda Kariakoo ukajionea kisa una PhD?! Hivi implication ya elimu zenu katika taifa ni hipi?
Kuna PhD nyingi serikalini lakini zipo kwa Ajili ya mshahara na kupanda kwa magred, na kutafuta pensheni kubwa baada ya kustaafu lakini Hazina tija kwa taifa ndio maana mtu mwenye masters au degree Moja anaweza kuwa msaidizi wa Rais na akamzuia Profesa ambae ni Waziri kumwona Rais this is Tanzania of today😂🤣😆😄😃😁😀😀😃😄😁😆😅😂🤣😭🤩I love U!
Tuliposema kiingereza kiwe lugha ya kufundishia tangu Primary school ili hao house girls wanufaike kama hao wanyasa tulishambuliwa kwa manenoUnawezaje kuuunda team kuchunguza yakuwa wanyasa ndo wanaongoza kuwa mahouse girl Masaki na Oystebay hapo Dsm kisa wanajua kingereza kuliko wazaramo dadazake na Jafo?!
Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu.PhD nyingine hii hap
ungekuwa wewe ungefanyaje?Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu. Niliowataja hapo juu
Kiukweli upatikanaji wa PhD zao hata Profesa Mark Mwandosya alitia neno kama nilivyotia mie yakuwa nilikuwa na MASHAKA PhD zile zilikuwa ni za MCHONGO kwa maana ni za kununua.
Mimi ninajiuliza msomi wa ngazi ya PhD unawezaje kuuunda team kwa Ajili kuchunguza kama kweli Kuna wamachinga wa kichina Kariakoo na kwingineko?
Unawezaje kuuunda team kuchunguza yakuwa wanyasa ndo wanaongoza kuwa mahouse girl Masaki na Oystebay hapo Dsm kisa wanajua kingereza kuliko wazaramo dadazake na Jafo?!
Mh Rais anasema kuna changamoto hiyo hilo nalo mkalitizame 😂😀🥰wewe unalitizama kwa kuunda team?
Waziri mwenye PhD unashindwa siku Moja kwenda Kariakoo ukajionea kisa una PhD?! Hivi implication ya elimu zenu katika taifa ni hipi?
Kuna PhD nyingi serikalini lakini zipo kwa Ajili ya mshahara na kupanda kwa magred, na kutafuta pensheni kubwa baada ya kustaafu lakini Hazina tija kwa taifa ndio maana mtu mwenye masters au degree Moja anaweza kuwa msaidizi wa Rais na akamzuia Profesa ambae ni Waziri kumwona Rais this is Tanzania of today😂🤣😆😄😃😁😀😀😃😄😁😆😅😂🤣😭🤩I love U!
we bwege km huna PhD uuwezo wa kuhoji uhalali na ubora wake unaupata wapi?Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu. Niliowataja hapo juu