Niliwahi kuhoji utimilifu wa PhD ya Mwigulu Nchemba, Dotto Biteko na Jafo. Hivi hili la wachina kuwa machinga linahitaji tume?

Siku moja nikiwa kwa kikao fulani, kuna watu walihoji kuwa jambo xyz halikuhitajika kufanyika maana ni upotevu wa muda na rasilimali za taasisi. Kiongozi mmoja akasema kuna watu hawajaonja pesa ya taasisi nje ya mshahara, wacha nao wapate. Hapo ndo nikaelewa kumbe misururu ya matukio kwenye taasisi za serikali ni mbinu ya upigaji
 
UNAULIZA MAJIBU?
 
Wachina kuna uwezekano wanatoa fungu kwenye chama kwasababu kuna picha nawaona sana kwenye vikao vikuu vya chama,wanakwenda kufuata nini au kumfuata nani na kwasababu zipi?

Wachina ni watoa rushwa wazuri sana ukicheka nao. Na kwa namna hili taifa limeoza kwa kansa ya rushwa usione ajabu wachina kuachiwa hadi wachimbe madini kwasababu wanajua wapi pa kupeleka mlungula na kutuliza cheche zisiwake.

Nadhani cha msingi ni raia wapambane wenyewe tu katika kutetea masilahi ya jamii yao na kulinda taifa letu. Hakuna kiongozi wa kulinda masilahi ya jamii na wanainchi kwasasa kwa jinsi walivyo hawa fisi maji.
 
Hapo bongo kila mtu anaweza kuwa na PHD.
Ikifika wakaongee utabubujikwa na michozi.
Sijui dokta, profesa,mwanasayansi, wakili msomi, yaani huwa mara kwa mara tukikutana sehemu nawatoa mbali sana.
Unakuta hajui hata jina lake.
Nchi la hovyo sana
 
Kazi nyingi zinafanywa na watu wa Stationery.Nimeshangaa sana,ni simu tu zinapigwa.
 
Hapo zitapigwa balaa, wachina hawajulikani mpk kamati iundwe?
Wachina wengi biashara zao wanaingia ubia na ccm. Hivyo team kuundwa ni kulinda maslahi ya chama. Utaniambia kama hiyo timu italete taarifa yoyote ya maana
 
Mm kwa kweli nahoji Barabara ya Ntyuka Dodoma mbunge wake ni nani yaani nikichefuchefu, magari yanaharibika yeye anakula kiyoyozi tuu, yaan huyu asichaguliwe tena. Msimpe maisha akafaidi na watu wake huko wakati shida hatatui, barabara inajengwa miaka zaidi ya mitano haiishi, nachukia mibunge ya hivi jamani
 
Ndugu yangu, siyo kwamba hawaelewi! Hiyo aina nyingine ya upigaji! Zitatumika bilioni nyingi tu kwa ajili ya hiyo tume! Hiyo ndiyo maana ya kula kwa urefu wa kamba!
 
Unawezaje kuuunda team kuchunguza yakuwa wanyasa ndo wanaongoza kuwa mahouse girl Masaki na Oystebay hapo Dsm kisa wanajua kingereza kuliko wazaramo dadazake na Jafo?!
Tuliposema kiingereza kiwe lugha ya kufundishia tangu Primary school ili hao house girls wanufaike kama hao wanyasa tulishambuliwa kwa maneno
 
Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu.PhD nyingine hii hap
Your browser is not able to display this video.

PhD nyingine hii hapa
 
ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
we bwege km huna PhD uuwezo wa kuhoji uhalali na ubora wake unaupata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…