sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu. Niliowataja hapo juu
Kiukweli upatikanaji wa PhD zao hata Profesa Mark Mwandosya alitia neno kama nilivyotia mie yakuwa nilikuwa na MASHAKA PhD zile zilikuwa ni za MCHONGO kwa maana ni za kununua.
Mimi ninajiuliza msomi wa ngazi ya PhD unawezaje kuuunda team kwa Ajili kuchunguza kama kweli Kuna wamachinga wa kichina Kariakoo na kwingineko?
Unawezaje kuuunda team kuchunguza yakuwa wanyasa ndo wanaongoza kuwa mahouse girl Masaki na Oystebay hapo Dsm kisa wanajua kingereza kuliko wazaramo dadazake na Jafo?!
Mh Rais anasema kuna changamoto hiyo hilo nalo mkalitizame 😂😀🥰wewe unalitizama kwa kuunda team?
Waziri mwenye PhD unashindwa siku Moja kwenda Kariakoo ukajionea kisa una PhD?! Hivi implication ya elimu zenu katika taifa ni hipi?
Kuna PhD nyingi serikalini lakini zipo kwa Ajili ya mshahara na kupanda kwa magred, na kutafuta pensheni kubwa baada ya kustaafu lakini Hazina tija kwa taifa ndio maana mtu mwenye masters au degree Moja anaweza kuwa msaidizi wa Rais na akamzuia Profesa ambae ni Waziri kumwona Rais this is Tanzania of today😂🤣😆😄😃😁😀😀😃😄😁😆😅😂🤣😭🤩I love U!