mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Hili tukio lilitokea miaka ya nyuma nikiwa chalii mdg enzi za Msoga regime first term.
Jioni moja hivi nilitumwa mafuta ya taa dukani. Sasa katika kucheza na ile hela nikaiweka mdomoni huku na gari langu( nadhani nilikuwa naendesha tairi la baiskeli au mfuniko wa ndooš¤£).
Mara Kaab š„¶mate yamejaa mdomoni nikajikuta nimemeza na ile hela... since then sikuwahi mwambia mtu kilichojiri.
Nilisema hela imepotea Nikachapwa ikawa imeisha hivyo. Sasa nawaza je bado nitakuwa nayo tumboni au ilitokaga na takamwili?