Niliwahi kumeza sarafu ya shilingi 50. Je, itakuwa tu tumboni?

Niliwahi kumeza sarafu ya shilingi 50. Je, itakuwa tu tumboni?

Hili tukio lilitokea miaka ya nyuma nikiwa chalii mdg enzi za Msoga regime first term.
Jioni moja hivi nilitumwa mafuta ya taa dukani. Sasa katika kucheza na ile hela nikaiweka mdomoni huku na gari langu( nadhani nilikuwa naendesha tairi la baiskeli au mfuniko wa ndoo🤣). Mara Kaab 🥶mate yamejaa mdomoni nikajikuta nimemeza na ile hela... since then sikuwahi mwambia mtu kilichojiri... nlisema.hela imepotea.. Nikachapwa ikawa imeisha hivyo..sasa nawaza je bado ntakuwa nayo tumboni au ilitokaga na takamwili?
Wewe hivisasa tayari ni tajiri hiyo 50 itakuwa imeshaongezeka sana ndani ya tumbo,kumbuka unakula hivyo nayoimekuwa ikiongezeka.Kafanye X ray,halafu uvune mihela hiyo,utakuja kunishukuru.
 
Shilingi hamsini inatoka kupitia choo kikubwa. Haikwami, hiyo ulishaitoa.
Haiyeyuki kama wadau wanavyosema hapo juu, inatoka kwenye choo kikubwa kama ilivyo
 
Back
Top Bottom