Acheni UTOTO KABISAHiyo kitu ni hatari... nenda hospitali wakakucheck... inaweza ikawa imekwama sehemu na inaleta kutu
sikutanii mkuu... kama ni kweli, nenda kacheck. Kuna dogo alimeza mkufu, ulimletea shida sanaDuh...
Wewe acheni masikharasikutanii mkuu... kama ni kweli, nenda kacheck. Kuna dogo alimeza mkufu, ulimletea shida sana
IshatokaLakini ni 20+years imepita mdau..sijawahi.hisi lolote.
Acheni utotoRIP IN ADVANCE
Unachobisha wewe kitu gani?Acheni utoto
Haikai inapota labda mkufu ila pesa inapita mkuuUnachobisha wewe kitu gani?
Labda kama analeta stori za vijiweni ila kama kameza kweli .tunahesabu miaka tu.hyo ni kansa wazi wazi Tena ya utumbo.sasa kwanini tusimpe RIP YAKE MAPEMA?
Acha uongo bana hela tumemeza sana na tumezinya ilikuwa ukimeza unasema u apewa dawa ya kuharisha hadi inatoka ina maana miaka yote hajawahi harisha??Unachobisha wewe kitu gani?
Labda kama analeta stori za vijiweni ila kama kameza kweli .tunahesabu miaka tu.hyo ni kansa wazi wazi Tena ya utumbo.sasa kwanini tusimpe RIP YAKE MAPEMA?
Umejuaje kuwa imetoka?mbona huyu mpaka sasa haijatoka?Acha uongo bana hela tumemeza sana na tumezinya ilikuwa ukimeza unasema u apewa dawa ya kuharisha hadi inatoka ina maana miaka yote hajawahi harisha??