Niliwahi kumeza sarafu ya shilingi 50. Je, itakuwa tu tumboni?

Wewe hivisasa tayari ni tajiri hiyo 50 itakuwa imeshaongezeka sana ndani ya tumbo,kumbuka unakula hivyo nayoimekuwa ikiongezeka.Kafanye X ray,halafu uvune mihela hiyo,utakuja kunishukuru.
 
Shilingi hamsini inatoka kupitia choo kikubwa. Haikwami, hiyo ulishaitoa.
Haiyeyuki kama wadau wanavyosema hapo juu, inatoka kwenye choo kikubwa kama ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…