Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Wakati nasoma primary mkoa wa Tanga, dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake.
Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi.
Sasa hivi ni shemeji yangu anaolewa na mdogo wangu.
Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi.
Sasa hivi ni shemeji yangu anaolewa na mdogo wangu.