Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Umri si tatizo....Aisee!!? Sasa hapo kwa haraka haraka shemeji yako ni mkubwa umri kuwazid ww na mdogo ako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri si tatizo....Aisee!!? Sasa hapo kwa haraka haraka shemeji yako ni mkubwa umri kuwazid ww na mdogo ako
Miaka sita tu, wakati bibie alikuwa mwalimu wa bwanake enzi hizo!Rais wa ufaransa wa sasa Emmanuel mkewe kamzidi miaka sita hao hapo!
Okay vp sa hivi tako limezidi kunona auWakati nasoma primary mkoa wa Tanga, dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake.
Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi.
Sasa hivi ni shemeji yangu anaolewa na mdogo wangu.