Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Wakati nasoma primary mkoa wa tanga dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu Cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake. Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi. Sasahivi ni shemeji yangu anaolewa na mdogo wangu.
Eti kiganja chako cha kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake 🤣🤣