Wakati nasoma primary mkoa wa tanga dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu Cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake. Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi. Sasahivi ni shemeji yangu anaolewa na mdogo wangu.
Tena anapigwa yeye na mdogo wake π€£alikuwa mkubwa kwako halafu ameolewa na mdogo wako mkuu? jiandae na kichapo kitaendelezwa
Kwa hiyo ulipima oil kalio la head gelo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakati nasoma primary mkoa wa tanga dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu Cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake. Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi. Sasahivi ni shemeji yangu anaolewa na mdogo wangu.
Umewaza kama nilichowaza.Acha kuwaza unachowaza... Huyo ni shemeji yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulipaswa kuandikishwa elimu ya watu wazima...Bila shaka ulikuwa nyoro nyoro sana wewe! Inakuwaje kijana wa kiume wa darasa la tano unapigwa na msichana wa darasa la saba!
Sisi wenzako wakati tulipokuwa darasa la tano, tulikuwa na uwezo wa kumgomea mwalimu wa kike kutuchapa viboko, na akaufyata! Sembuse dada mkuu!!
Soma jina la mtoa post utajua jibu likojeAlikuwa headgirl, ulikuwa la tano, ulikuwa mtundu, alikuwa la saba
Tuanze apo sasa
Adi mschana anakuwa headgirl ina maana confidence yake iko juu, na ina maana ni mkubwa kiumri kulko average ya darasa, so kama la saba miaka hyo walikuwa na umri wa miaka 14 ina maana ye alikuwa 14 hyohyo au 15 na sio pungufu
Na we ulikuwa la tano mtundu, mtoto hawezi kuwa mtundu kama waliomzunguka ni wadogo sana kulko yeye, ko wewe ni either ulikuwa na umri wa average au umri wa chini zaid ya wenzako,
Ni mdogo wako kiaje, sijui ila mpaka umesema ni "mdogo wangu", ina maana ni tumbo moja vinginevyo ungesema dogo( high probability)
Kama ni tumbo moja na mama yko kazaa mapema baada ya kukuzaa bas umempita miaka 2, so dem kamzidi zaidi ya miaka minne au zaid
Kama jamaa anataka aoe basi kafika miaka 30, na dem ni zaidi ya 34, mbona kama kachagua asieendana nae asee au umetupiga fix tu ww
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kawaida sana kwa watoto wa vijijini kuanza elimu ya msingi tukiwa na umri wa miaka 10 na kuendelea.Ulipaswa kuandikishwa elimu ya watu wazima...
Mleta Uzi hapa umetupiga dadamkuu alikuwa na miaka 14 ,na wewe ulikuwa na miaka 12 na mdogo wako alikuwa na miaka 10 ,Kwa hyo mdogo wako ameoa mwanamke anaemzidi miaka zaidi ya 4 na wewe unazidiwa na shemeji miaka 2 .hii ndoa kudumu kwake mtapitia changamoto kadhaaWakati nasoma primary mkoa wa tanga dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu Cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake. Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi. Sasahivi ni shemeji yangu anaolewa na mdogo wangu.
Mleta Uzi hapa umetupiga dadamkuu alikuwa na miaka 14 ,na wewe ulikuwa na miaka 12 na mdogo wako alikuwa na miaka 10 ,Kwa hyo mdogo wako ameoa mwanamke anaemzidi miaka zaidi ya 4 na wewe unazidiwa na shemeji miaka 2 .hii ndoa kudumu kwake mtapitia changamoto kadhaa
La 5 uliwezaje kumgomea mwalimu? au ulikua memkwa mkuuBila shaka ulikuwa nyoro nyoro sana wewe! Inakuwaje kijana wa kiume wa darasa la tano unapigwa na msichana wa darasa la saba!
Sisi wenzako wakati tulipokuwa darasa la tano, tulikuwa na uwezo wa kumgomea mwalimu wa kike kutuchapa viboko, na akaufyata! Sembuse dada mkuu!!
Hapana..Sio Nikolas Sarkozy?
Mimi la5 nilikuwa Na miaka 10..Na nlkuwa nagomea mpaka headmaster...nlkuwa Doja namba 1 Na nlkuwa kwenye Kikundi kinaitwa WAJEDA tulikuwa tunatesa shule nzima...La 5 uliwezaje kumgomea mwalimu? au ulikua memkwa mkuu
Inawezekana pia maana nakumbuka nikiwa darasa la kwanza niliwahi kushuhudia mwanafunzi wa darasa la 7 anapigana na mwalimu mkuu alaf walikua ni mtu na mjomba wake ticha alipigika alivyoona hawez kufua dafu na watu wa kuwaachanisha hawapo ikabidi tu ticha amwambie mwanafunzi usirudi tena nyumbani kwangu maana alikua anamlea yeye[emoji16]Mimi la5 nilikuwa Na miaka 10..Na nlkuwa nagomea mpaka headmaster...nlkuwa Doja namba 1 Na nlkuwa kwenye Kikundi kinaitwa WAJEDA tulikuwa tunatesa shule nzima...
πππππKisa chenyewe kidoogo kiganja changu Cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake.