Niliwahi kupigwa na head girl assemble, sasa hivi anaolewa na mdogo wangu


🤣 🤣 🤣 mtahadharishe mdogo wako,
 
Hakikisha mdogo wako anampa za mbavu, karma is real and it is knocking at the footsteps zako mzee hakikisha anampasua amvunje meno hata mawili.
 
Dada wa shule aliyekuwa anakuzidi umri wewe iweje leo aolewe na mdogo wako hauoni utofauti wa makamo?

Ningelifurahi sana kwa maelezo yako ya thread kama ungelituambia umemuoa wewe kwa kuwa makamo yenu yanarandana halafu kisa hicho kingelinogesha sana penzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naonewa mkuu
Ulikuwa ndezi sana Drs la 5!! unapigwa na Demu?? hata makarama bin makeke tu!! hukuwanayo? haya basi jivunie japo mbio tu!! mpaka aje ageuze tako lake hilo weye unasubiri tu!! kule Musoma ukifanyiwa ivo utapigwa sana asee! unatengwa mtoto haramu!

zizini huingii!! ngombe hukamui mpaka ujitakase kwa kumuua simba Dume!! tena live! ole! wako sasa ulete simba mfu!! Muraaa!
 
Rais wa ufaransa wa sasa Emmanuel mkewe kamzidi miaka sita hao hapo!
 
Porojo zote hizi za vitu usivyo na uhakika navyo, muda unautoa wapi? Alichoeleza ni ama ukichukue au ukiache kama kikivyo.
 
Mwambie dogo akulipizie kisasi kwa kumchapa headgirl kibabe kwa upinde wa khanga..
 
Upo la 5 yeye la 7....afu kaolewa na mdogo wako... Khaaa
 
Shule zinafunguliwa lini?
 
Na yule ulimfata kwa inbox yake majuzibkati ulimsogezea ya picha au katuni?
 
Umepata shemeji haswa? Shemaji asiyependa shikwa shikwa kalio. Mzuri huyo.
 
Kwa hiyo mdogo wako amekuzidi kete?, maana km dada aliyekudunda wewe anaolewa na mdogo wako, Kiufupi ni kwamba mdogo wako ni mjanja kukuzidi.
 

Kwa haraka haraka, kama alikuwa 7 na wewe 5, alikuwa kubwa kwako kwa about 2 years, na kama anaoelewa na Dogo tu assume Dogo ni mdogo kwako kwa 2 years;
That is to say mke wa Dogo ni mkubwa kwa miaka 4 kwa dogo; mwambie atapigwa sana kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…