Niliwahi kupigwa na head girl assemble, sasa hivi anaolewa na mdogo wangu

Umri una tatizo gani?!

Kama anafaa oa..hata akuzidi miaka 10.

Kaka yangu mkubwa MKE wake anamzidi miaka 8 ..na wanamiaka 33..ya ndoa ..

Wamesha jukuu..
 
Reactions: Auz
Rais wa ufaransa wa sasa Emmanuel mkewe kamzidi miaka sita hao hapo!
Miaka sita tu, wakati bibie alikuwa mwalimu wa bwanake enzi hizo!
Kwa usahihi ni karibu miaka 24 sio 6. Mke kazaliwa 1953, mume, rais kazaliwa 1977! Mapenzi kizunguzungu!
 
Okay vp sa hivi tako limezidi kunona au

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Jindae kutulete Uzi wa mdogo wako kupigwa na mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…