Niliwahi sema humu na narudia tena, Makonda ni aina ya watu ambao sio wa kuwaachia MIC, kuna siku ya siku

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay.

Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na yeye ana hilo Tatizo sugu kama la Makonda.

Ukimuachia MIC ni kuanza kuwaza sijui ataharibu au ata make,na huyu makonda kuna siku ataongea fyongo ya hatari na hapo ndio sasa watu wataamka na kuanza kuto mpatia MIC kwenye matukio makubwa.

Makonda kwenye events kubwa hasa zinazo husidha wakubwa kama Raisi watu wa usalama wanapaswa kufanya kila liwezekanalo jamaa asiongee kabisa, au wampagie cha kuongea tofauti na hapo kuna siku ataongea zaidi ya haya.

Jana kaja na swaga la Raisi ana logwa na Watumishi, kule Monduli alipewa Mic akasema anawajua wanao mkwamisha Raisi na atawajata, akiwa mwenezi siku wanapokea Ndege pale Airport akasema Viongozi wengi wanajipendekeza kwa Raisi.

Sasa watu hasa wa Kitengo wanashindwa kufanya connectioin ya matamshi kuna siku sasa ataongea fyongo zaidi ya hizi.
 
ni muhimu sana kusema na kuambiana ukweli hata kama watu watalala chini, achilia mbali kuinamisha vichwa chini. Hakuna kuona aibu wala haya katika kusema ukweli.

ukweli utakuweka huru wewe na unaowaambia, yanini kujivunga na kukaa na ukweli moyoni ambao unapaswa kuelezwa bayana kwa jamii.

hiyo itakua ni uchoyo na kuutesa moyo wako na hatimae kujitakia maradhi tu yasio na maana yoyote.

Tufanye mazoezi na kujifunza kusema na kuupokea ukweli bila kuinamisha vichwa wala kulala chini.

Ukweli ndiyo Uhuru my friend, ladies and gentlemen.🐒

well done RC Makonda
 
Makonda, ni Moja wa wanadamu ambao Huwa hawamsingizii MTU au kuongea kitu wasichokijua.

Kikwete alisema ,Hawaachian maji mezani.

Polepole akasema usipopigwa zengwe, utarogwa.

Nani alimuwekea sumu Magufuli, na wengineo.

Ukweli ni ukweli bila kujalisha nani anasema.
 
Makonda anapozungumza habari zake hasa za CCM kwa jinsi anavyowasilisha hoja zake body language yake inatoa 80% ya kile anachozungumza ni Kweli Kabisa.

Anapozungumza habari zinazomhusu mwenyewe hasa zile zenye utata ukimtazama utaona anaongea uongo kwa asilimia 80%

Akizungumza habari za Mahasimu wake au wapinzani wake anakuwa 50*50.

Kuhusu kuropoka. Makonda anajua Watanzania wengi akili Zao zinataka kusikia nini.

Anachoongea makonda ndio Watanzania wengi hupenda kukisikia.
 
Easy nn kimekupata?
You are more smart than this
 
Aisee, we umejua kumsoma!
Lakini si bure, kuna kitu anakikusudia/anakitafuta. Sasa hivi huwezi kumtenga na viongozi wa dini, huwezi kumtenga na wadudu, watu wa sekta ya utalii na makundi dhaifu katika jamii. Vita yake imebaki kwa watumishi wa serikali wanaojipendekeza au kumroga Mh. Rais..!!
 
Makonda ni mtu wa events.... kila anapokuwa anataka kuwa the story of the day. Hata kama ni msiba... itatafutwa namna, yeye ageuke story
 
Makonda, ni Moja wa wanadamu ambao Huwa hawamsingizii MTU au kuongea kitu wasichokijua.

Kikwete alisema ,Hawaachian maji mezani.

Polepole akasema usipopigwa zengwe, utarogwa.

Nani alimuwekea sumu Magufuli, na wengineo.

Ukweli ni ukweli bila kujalisha nani anasema.
Magufuli alikufa Kwa maradhi yake aliyokua nayo muda mrefu baada ya betri kufeli kwenye Moyo!

Swala la Hao kutamka hayo ni dhahiri na ushahidi upo wa kutamka hayo maneno. Akiwemo huyo mjinga aliyetamka kwamba Wapo wanaomloga Rais! Swala la kulogwa au kuloga haliwezi kuthibitishwa mahala popote au effectiveness yake kisayansi!

Linapokuja swala la Magufuli kwamba alitiliwa sumu huoni Uwongo Kwa sababu haikuwahi kuthibitishwa sehemu yoyote na Daktari yeyote au chombo chochote Cha uchunnguzi. Unapozungumzia jambo kama Hilo ilifaa kuwe na viashiria vya Moja kwamoja kuonesha mhusika alimyweshwa sumu!
Ukiacha kwamba alifanya kiburi mbele ya COVID 19, lakini huyu mtu alikua mgonjwa wa Moyo na alikua na kifaa Tiba mwilini mwake.

Kama jaribio la kumuuwa akiwa wizarani kwa kutiliwa sumu na likawekwa wazi, basi hata hili la mwisho longekua wazi. na kama aliwahi kuanguka Dodoma Ina maana alikua na health discrepancies ambazo zilikua zinamweka prone to death.
Kwa hiyo Makonda ni wa kumpuuza kama wajinga wenzie Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa. Ambao hawana uwezo wa kuzungumza mambo ya msingi mbele za umma
Kuhusu namna Bora ya
1. Kwakwamua wananchi katika wimbi la umaskini
2. Kuboresha huduma za afya ziweze kuwa affordable, accessible na reliable
3. Kuboresha miundo mbinu ya usafirishaji na upatikanaji wa nishati safi.
4. Kuboresha demokrasia na usalama wa watu wote katika nchi na mambo kama hayo!

Ukiona wanaanza kuwaza ulozi na uganga ni kiwango Cha juu zaidi Cha ujinga na upumbavu!
 
Imeandikwa,

Mwanadamu aliezaliwa na mwanananke siku zake za kuishi si nyingi nae hujaa taabu.

Ayubu 14:1

huna haja ya kubabaika na huo ushirikiana wa sijui nani alikufaje na wengine itakuaje.

Kila nafsi itaonja umauti kadiri mipango na mapenzi ya Mungu.

Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan, iko kazini na inawajibika kweli kweli kuhakikisha wananchi wote wananufaika na matunda ya mipango ya serikali na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

kinyume na hapo,
muwe huru kujadiliana mambo mengineyo hata yasio na maana kwa amani na upendo na hatimae kuimarisha umoja na utangamano miongoni mwetu kama waTanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Makonda, ni Moja wa wanadamu ambao Huwa hawamsingizii MTU au kuongea kitu wasichokijua.

Kikwete alisema ,Hawaachian maji mezani.

Polepole akasema usipopigwa zengwe, utarogwa.

Nani alimuwekea sumu Magufuli, na wengineo.

Ukweli ni ukweli bila kujalisha nani anasema.
Duh kumbe wa chato aliwekewa sumu???
 
Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay.

Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na yeye ana hilo Tatizo sugu kama la Makonda.

Ukimuachia MIC ni kuanza kuwaza sijui ataharibu au ata make,na huyu makonda kuna siku ataongea fyongo ya hatari na hapo ndio sasa watu wataamka na kuanza kuto mpatia MIC kwenye matukio makubwa.

Makonda kwenye events kubwa hasa zinazo husidha wakubwa kama Raisi watu wa usalama wanapaswa kufanya kila liwezekanalo jamaa asiongee kabisa, au wampagie cha kuongea tofauti na hapo kuna siku ataongea zaidi ya haya.

Jana kaja na swaga la Raisi ana logwa na Watumishi, kule Monduli alipewa Mic akasema anawajua wanao mkwamisha Raisi na atawajata, akiwa mwenezi siku wanapokea Ndege pale Airport akasema Viongozi wengi wanajipendekeza kwa Raisi.

Sasa watu hasa wa Kitengo wanashindwa kufanya connectioin ya matamshi kuna siku sasa ataongea fyongo zaidi ya hizi.
Ndio hovyo za Samia hizo.
 
ni muhimu sana kusema na kuambiana ukweli hata kama watu watalala chini, achilia mbali kuinamisha vichwa chini. Hakuna kuona aibu wala haya katika kusema ukweli.

ukweli utakuweka huru wewe na unaowaambia, yanini kujivunga na kukaa na ukweli moyoni ambao unapaswa kuelezwa bayana kwa jamii.

hiyo itakua ni uchoyo na kuutesa moyo wako na hatimae kujitakia maradhi tu yasio na maana yoyote.

Tufanye mazoezi na kujifunza kusema na kuupokea ukweli bila kuinamisha vichwa wala kulala chini.

Ukweli ndiyo Uhuru my friend, ladies and gentlemen.🐒

well done RC Makonda
DUuh
 
Unatofauti gani na nzi wewe?
Kila kitu unaunga mkono tu kama nxi..kwenye msvy yumo, kwenye kijambo yumo aa
makasiriko, chuki binafsi, matusi na mihemko ni useless na nonsense kwenye mambo muhimu kama haya gentleman,

ikiwa huna mawazo mapya wala fikra mbadala ni vyema ukaufyata mkia tu kuliko kumbwelambwela na kusumbua wadau :pedroP:
 
Imeandikwa,

Mwanadamu aliezaliwa na mwanananke siku zake za kuishi si nyingi nae hujaa taabu.

Ayubu 14:1

huna haja ya kubabaika na huo ushirikiana wa sijui nani alikufaje na wengine itakuaje.

Kila nafsi itaonja umauti kadiri mipango na mapenzi ya Mungu.

Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan, iko kazini na inawajibika kweli kweli kuhakikisha wananchi wote wananufaika na matunda ya mipango ya serikali na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

kinyume na hapo,
muwe huru kujadiliana mambo mengineyo hata yasio na maana kwa amani na upendo na hatimae kuimarisha umoja na utangamano miongoni mwetu kama waTanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mnahubiri amani huku mmeficha mapanga!
 
Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay.

Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na yeye ana hilo Tatizo sugu kama la Makonda.

Ukimuachia MIC ni kuanza kuwaza sijui ataharibu au ata make,na huyu makonda kuna siku ataongea fyongo ya hatari na hapo ndio sasa watu wataamka na kuanza kuto mpatia MIC kwenye matukio makubwa.

Makonda kwenye events kubwa hasa zinazo husidha wakubwa kama Raisi watu wa usalama wanapaswa kufanya kila liwezekanalo jamaa asiongee kabisa, au wampagie cha kuongea tofauti na hapo kuna siku ataongea zaidi ya haya.

Jana kaja na swaga la Raisi ana logwa na Watumishi, kule Monduli alipewa Mic akasema anawajua wanao mkwamisha Raisi na atawajata, akiwa mwenezi siku wanapokea Ndege pale Airport akasema Viongozi wengi wanajipendekeza kwa Raisi.

Sasa watu hasa wa Kitengo wanashindwa kufanya connectioin ya matamshi kuna siku sasa ataongea fyongo zaidi ya hizi.
Umenena vyema mwanangu. Huyu kiroboto hafai hata kuonyeshwa microphone. Yake ilipaswa kuwa microwave ili aunguzwe na ateketee.
 
Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay.

Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na yeye ana hilo Tatizo sugu kama la Makonda.

Ukimuachia MIC ni kuanza kuwaza sijui ataharibu au ata make,na huyu makonda kuna siku ataongea fyongo ya hatari na hapo ndio sasa watu wataamka na kuanza kuto mpatia MIC kwenye matukio makubwa.

Makonda kwenye events kubwa hasa zinazo husidha wakubwa kama Raisi watu wa usalama wanapaswa kufanya kila liwezekanalo jamaa asiongee kabisa, au wampagie cha kuongea tofauti na hapo kuna siku ataongea zaidi ya haya.

Jana kaja na swaga la Raisi ana logwa na Watumishi, kule Monduli alipewa Mic akasema anawajua wanao mkwamisha Raisi na atawajata, akiwa mwenezi siku wanapokea Ndege pale Airport akasema Viongozi wengi wanajipendekeza kwa Raisi.

Sasa watu hasa wa Kitengo wanashindwa kufanya connectioin ya matamshi kuna siku sasa ataongea fyongo zaidi ya hizi.
Kumloga nafikiri anaamaanisha wanamkwamisha. Ila hatakiwi, hakutakiwa kutumia lugha hiyo.

Angeweza kusema wanaomchelewesha Rais. Rais mwenyewe hajui anataka nini, ni vigumu kumtetea?
 
Back
Top Bottom