BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay.
Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na yeye ana hilo Tatizo sugu kama la Makonda.
Ukimuachia MIC ni kuanza kuwaza sijui ataharibu au ata make,na huyu makonda kuna siku ataongea fyongo ya hatari na hapo ndio sasa watu wataamka na kuanza kuto mpatia MIC kwenye matukio makubwa.
Makonda kwenye events kubwa hasa zinazo husidha wakubwa kama Raisi watu wa usalama wanapaswa kufanya kila liwezekanalo jamaa asiongee kabisa, au wampagie cha kuongea tofauti na hapo kuna siku ataongea zaidi ya haya.
Jana kaja na swaga la Raisi ana logwa na Watumishi, kule Monduli alipewa Mic akasema anawajua wanao mkwamisha Raisi na atawajata, akiwa mwenezi siku wanapokea Ndege pale Airport akasema Viongozi wengi wanajipendekeza kwa Raisi.
Sasa watu hasa wa Kitengo wanashindwa kufanya connectioin ya matamshi kuna siku sasa ataongea fyongo zaidi ya hizi.