Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Niliwai chomewa nyumba polisi wakapokea rushwa pale mkuranga sitokaa nisaauh kamwe Wala nimpende polisi awaye yoyote hata afe Leo siziki polisi Wala SILI chakula na polisi.
Niliwai toa USHIRIKIANO KWA jeshi la polisi dhidi ya uhalifu nikageukiwa siitaji na siwataki polisi himo marangu.
Niliwai poteza mtoto wangu kidato cha Tano,kesi iliend mpaka ikulu kwa msaada wa max mello wa jf lakini polisi walipotosha ukweli hata iweje sitokaa niipende.