Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

tumechoka na huu upumbavu wenu kila siku Magufuli, yule ameshaoza anatumikia adhabu ya kaburi, Zitto aliwaambia km mnampenda sana mfuateni aliko. Au hamjui njia ya kwenda kule? Mbona simple tu.
Hata huyo Zitle naye akifa ni vivo hivo watu watagonga cheers kama kweli alifurahia kifo cha mwenzake. Ni uhayawani kufurahia binadam mwenzio kufa shiiiiiiit
 
Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.

Haya Kiko wapi sasa? Tubuni mno.
Amekulakula kidogo miaka miwili sasa
 
Kuna ambaye hata kufa?
"Siku za mwanadamu ni chache ....."
 
Back
Top Bottom