Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo Zitle naye akifa ni vivo hivo watu watagonga cheers kama kweli alifurahia kifo cha mwenzake. Ni uhayawani kufurahia binadam mwenzio kufa shiiiiiiittumechoka na huu upumbavu wenu kila siku Magufuli, yule ameshaoza anatumikia adhabu ya kaburi, Zitto aliwaambia km mnampenda sana mfuateni aliko. Au hamjui njia ya kwenda kule? Mbona simple tu.
Amekulakula kidogo miaka miwili sasaYaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.
Haya Kiko wapi sasa? Tubuni mno.
Ndiyo mnalijua hili leo? Na nasikia Wengine baadhi Walioshangilia nao watafuata.Hahahah ila truth be told, wote njia moja , ucheke usicheke njia moja tu
Wewe utaishi Milele?
Nasikia katika Hesabu ya Kuondoka bado Watatu akiwemo Kubwa lao Smile all the time Mkuu.Waiting for those back 3 , kufikia 2025 tutakuwa tunanena lugha moja
Atakuwa anajutia kauli yake ya kipumbavu."Wazuri hawafi" kwa sauti ya Makamba Sr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sijui ana hali gani huko.
Mnamuondoa Mzee wa Watu halafu mnafurahia. Haya sasa nanyi mnaenda huko huko aliko.Bila shaka umekalia Mpini hapo ulipo.
Ngoja tukae Kwa kutulia Kwanza mechi bado inaendeleaNasikia katika Hesabu ya Kuondoka bado Watatu akiwemo Kubwa lao Smile all the time Mkuu.
Kazi ipo...!!!!!
Nasikia wamebakia kama Watatu hivi.Anyways, sisi tunamwombea msamaha wa dhambi zake, apumzike kwa amani mbinguni. Amina.
- Mungu fundi
- Mungu ameamua ugomvi
- Wema hawafi
- Wanaompenda wakazikwe naye
Na Sisi tushangilie kama Wengine walivyoshangilia bila aibu huku Wakitamba baada ya kusikia Magufuli Kafariki Machi 17 mwaka 2021?Siku yake imefika hamna cha nini wala nini.
Kwani mkuu wewe ambae hukushangilia kifo cha jiwe hutakufa?[emoji848]Ndiyo mnalijua hili leo? Na nasikia Wengine baadhi Walioshangilia nao watafuata.
Ubaya Ubayani tu.
Ni wewe na roho yako sasa.Na Sisi tushangilie kama Wengine walivyoshangilia bila aibu huku Wakitamba baada ya kusikia Magufuli Kafariki Machi 17 mwaka 2021?