Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.

Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
Kwani waliohudhunishwa na kifo cha JPM hawata kufa?
 
Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.

Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
Kind like stupidity, [emoji24][emoji24],yeye nani asife? Hata wewe,hujui sekunde moja ijayo utakua nani,both JPM, and Membe ni binadamu Kama sisi, doomed to extinction [emoji137]
 
Kwani mkuu wewe ambae hukushangilia kifo cha jiwe hutakufa?
emoji848.png
Huyo ni bumunda! Sidhani kama ana uwezo wa kukujibu kwa usahihi.
 
We jamaa sijui vipi kwani membe si kagonga 70 biblia ina sema mwanadamu aliezaliwa na mwanamke sikuzake duniani si nyingi zenye shida na taabu ukiishi sana 70 umejitahidi kupanda juu ya hapo ni bahati ya wachache, unaanza kufungua ma faili ya marehemu Rais Jpm ebu acheni baba wa watu apumzike na Kila nafsi itaonja mauti, inaonekana unaroho ya visasi na umefurahia msiba wa Membe nakumumbusha tu kifo kina miguu kikifika kwenu ndio utajua maumivu yake sio vizuri kushangilia mtu anapofariki, vp au mwenzetu unamkataba na maisha Israeli anakuogopa? Hii tabia mbaya sana Yani umekimbilia kufungua kiuzi kufurahia kifo Cha binadamu mwenzio.
 
Lazima JPM akashughulikiwe huko aliko, he is a fugitive, ngoja wakamnyooshe huko aliko, huko hana urais, Wala Jeshi, zitapigwa ngumi mpaka anyooke
Kwahiyo unataka kusema jamaa kamfwata huku.. Sio madeni yamezidi alizani atalipwa na musiba kumbe musiba kaleta msiba
 
Wacha kuongea pumba zako kwan walikwambia wataishi milele
Walifurahi sababu jambazi muuwaji fisadi mtesi kafariki kwaiyo mateso na manyanyaso yako hayatokuepo tena iyo ndo ilkua furaha yao ila sula la kula kla mtu atakula na ilo kla mtu analijua

Ficha ujinga wako usitake kulazimisha kla mtu ampende uyo mjomba wako mungu mtu
Ndiyo keshaondoka hivyo bado Watatu.
 
Back
Top Bottom