Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Acha tule tu mtori kwa sasa, nyama tutazikuta chini. Who is the next??? mzee wa wazuri hawafi.??Sasa ni dhahiri kuwa mmekuwa wehu baada ya mungu wenu kufa 17 Machi 2021.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tule tu mtori kwa sasa, nyama tutazikuta chini. Who is the next??? mzee wa wazuri hawafi.??Sasa ni dhahiri kuwa mmekuwa wehu baada ya mungu wenu kufa 17 Machi 2021.
Kwani waliohudhunishwa na kifo cha JPM hawata kufa?Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.
Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
Wahi msibanSasa ni dhahiri kuwa mmekuwa wehu baada ya mungu wenu kufa 17 Machi 2021.
Kind like stupidity, [emoji24][emoji24],yeye nani asife? Hata wewe,hujui sekunde moja ijayo utakua nani,both JPM, and Membe ni binadamu Kama sisi, doomed to extinction [emoji137]Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.
Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
Yaan amepita mule mule alipopita mwenzake.Halafu anaondolewa kwa Ngoma ileile mkuu GENTAMYCINE
Wewe hata hiyo miaka 70 ya Camilius Membe utafika?Wewe utaishi Milele?
Huyo ni bumunda! Sidhani kama ana uwezo wa kukujibu kwa usahihi.Kwani mkuu wewe ambae hukushangilia kifo cha jiwe hutakufa?![]()
Kwahiyo unataka kusema jamaa kamfwata huku.. Sio madeni yamezidi alizani atalipwa na musiba kumbe musiba kaleta msibaLazima JPM akashughulikiwe huko aliko, he is a fugitive, ngoja wakamnyooshe huko aliko, huko hana urais, Wala Jeshi, zitapigwa ngumi mpaka anyooke
Wewe ukifikisha hata 45 tu hujaondoka mazima Nakunya Mubashara ( mchana Kweupe ) Chalinze hadi Segerea.Wewe hata hiyo miaka 70 ya Camilius Membe utafika?
Kufa Kufa tu Kudadadeki. Salute Israeli.Wacha tufurahie tu lile zimwi lilizidisha
Bora huyu hata umri wake si haba
Nimeshavuka poleWewe ukifikisha hata 45 tu hujaondoka mazima Nakunya Mubashara ( mchana Kweupe ) Chalinze hadi Segerea.
Hakika Mkuu.Malipo ni hapa hapa Duniani.
Endelea kunitafuta tu utanipata sawa?Umeandika machache hivyo?
sio upumbavu kufurahia kifo cha mtesaji, Magufuli alikuwa mtesi.Kabisa, ni upumbavu kufurahia au kucheka kifo cha mwingine ikiwa wewe mwenyewe hatma yako ni huko huko.
Muulizeni aliyeondoka mazima KMH.Unafurahiaje kifo cha mtu mwingine?
Ndiyo keshaondoka hivyo bado Watatu.Wacha kuongea pumba zako kwan walikwambia wataishi milele
Walifurahi sababu jambazi muuwaji fisadi mtesi kafariki kwaiyo mateso na manyanyaso yako hayatokuepo tena iyo ndo ilkua furaha yao ila sula la kula kla mtu atakula na ilo kla mtu analijua
Ficha ujinga wako usitake kulazimisha kla mtu ampende uyo mjomba wako mungu mtu