Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Leo katutag Dr Restart

Labda atasingizia alilala hospital kwa zai ila ni funzo kuna baadhi ya ushosti uwe na mipaka maana huwa inawacost sana wanawake wengi
Hatari, nahisi hata yeye kutokumuona mgonjwa ulikua mpango, shida hata kama ulilala hospital ndio usipokee simu, yan nahisi ingenitokea mimi ningeshindwa kusema uongo ningejikuta nasema ukwel tu
 
Nawaza kwa sauti.

Je, tukio hili halikuwezi kuwa limepangwa kiustadi kati ya Anwari na Zai?

Mage kaongea na Zai kumkataza kutoa taarifa zake kwa Anwari. Zai akachukia, akagomea mpaka na miadi ya kumuona Mama Miraji.

Jioni Anwari anapiga Zai kuwa mahututi. Mage analazimika kwenda kumuona shoga yake. Anwari anagharamikia matibabu ya Zai kwa malipo ya awali. Unganisha dots hapo. Anashawishiwa na Anwari amsogeze kwa kuwa tayari muda umeenda.

Anaingia kwenye gari la Anwari. Anapuliziwa madawa ya usingizi. Anwari alifanyaje? Mbona yeye hakuathirika endapo gari zima lilikuwa limepuliziwa dawa? Maana yake alishajipanga mapema. Siyo ishu ya kujiandaa ndani ya dakika chache. Na bila shaka dawa ilikuwa katika kiwango kikubwa. Masaa zaidi ya 12 baada ya mhusika kuivuta.

Je, nini kitaharakisha kifo cha Anwari?
1. Hasira ya kubakwa
2. Kumuacha mtoto usiku mzima
3. Kutoeleweka kwa Bw. Mgaya
4. Kumpanda kichwani kuhusu mtoto

Rest in Peace in Advance Anwari.

Zai to follow.
Uchambuzi murua kabisa huu
 
Back
Top Bottom