Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Nawaza kwa sauti.

Je, tukio hili halikuwezi kuwa limepangwa kiustadi kati ya Anwari na Zai?

Mage kaongea na Zai kumkataza kutoa taarifa zake kwa Anwari. Zai akachukia, akagomea mpaka na miadi ya kumuona Mama Miraji.

Jioni Anwari anapiga Zai kuwa mahututi. Mage analazimika kwenda kumuona shoga yake. Anwari anagharamikia matibabu ya Zai kwa malipo ya awali. Unganisha dots hapo. Anashawishiwa na Anwari amsogeze kwa kuwa tayari muda umeenda.

Anaingia kwenye gari la Anwari. Anapuliziwa madawa ya usingizi. Anwari alifanyaje? Mbona yeye hakuathirika endapo gari zima lilikuwa limepuliziwa dawa? Maana yake alishajipanga mapema. Siyo ishu ya kujiandaa ndani ya dakika chache. Na bila shaka dawa ilikuwa katika kiwango kikubwa. Masaa zaidi ya 12 baada ya mhusika kuivuta.

Je, nini kitaharakisha kifo cha Anwari?
1. Hasira ya kubakwa
2. Kumuacha mtoto usiku mzima
3. Kutoeleweka kwa Bw. Mgaya
4. Kumpanda kichwani kuhusu mtoto

Rest in Peace in Advance Anwari.

Zai to follow.
Inawezekana ni mpango kazi wa huyo dada na Anwari kwa maono yangu kwani hakukuwa na uthibitisho wowote kama huyu dada aliyemkuta na Anwar ni dada yake Zai kwani yeye alitambulishwa tu na huenda hata pale hospital ulitengenezwa mchongo kuonekana Zai anaumwa na Anwar afanye malipo kama kumtamanisha Mage,huo ni mpango kazi[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anwari utalipa hili. Siyo siku nyingi bali hivi karibuni. Umembaka Mage? Hahaha basi naye atakutoa roho yako hivi karibuni.

Nasikitika kutangaza kifo cha Anwari mapema kuliko nilivyotegemea.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Restart njoo Mkuu.

Duh, baada ya Mama Mkwe anayefuata ni Anwari sasa. Baadae atafuata Zai na kisha Bwana Mgaya huku Mwanga Amiri akihitimisha idadi ya watu watano.

Au Madam Beatha naye yumo kwenye list? Momo je? Tusubiri tuone.

SteveMollel twashukuru kwa Story tamu na ya kusisimua. Ila Mkuu, ngoja ngoja ya kipindi kirefu chaumiza 'Hippocampus' kukumbuka yaliyopita.

Dr Restart tuendelee kushtuana Mkuu.
[emoji23] Nacheka sanaaa
 
Back
Top Bottom