Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Naona Story inazidi kuwa tamu !Nimefika madam Antonia asantee sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Story inazidi kuwa tamu !Nimefika madam Antonia asantee sana
Asante Sana mkuu,tuburudikeBantu Lady Lovelovie baby zu Tayukwa Lastmost Santos06 Unforgettable kitalembwa Kalpana Episode 9 tayariiiii
cousin leadermoe Naona ushapita pande hii!!
Plz nitag namimk ikitoka nyingineBantu Lady Lovelovie baby zu Tayukwa Lastmost Santos06 Unforgettable kitalembwa Kalpana Episode 9 tayariiiii
cousin leadermoe Naona ushapita pande hii!!
Shukrani Tivu ngoja nianze Analyse Numbisa Watu8 Depal sijui mmepita hukuNgoja nisaidie kutag watu, wengine hata habari hawana, wasije lalamika baadae.
Jane Msowoya winston20 Kisima Shunie Firdaus9 Bantu Lady Che mittoga Mrs Lissu Mdigokhan Smart AJ One mistake Emushi Mafian cartel Mbeya Girl Bilionea Asigwa IBRA wa PILI Kanali_ Extra miles gbefa buffalo44 MINENE BOY Deportivo la coruna Kelsea Innovator97 Valentina blackstarline Karucee Depal dingihimself Dejane Marcel 12 Sakasaka Mao moneytalk Tajiri Kichwa Prince Kunta
Inawezekana ni mpango kazi wa huyo dada na Anwari kwa maono yangu kwani hakukuwa na uthibitisho wowote kama huyu dada aliyemkuta na Anwar ni dada yake Zai kwani yeye alitambulishwa tu na huenda hata pale hospital ulitengenezwa mchongo kuonekana Zai anaumwa na Anwar afanye malipo kama kumtamanisha Mage,huo ni mpango kazi[emoji23]Nawaza kwa sauti.
Je, tukio hili halikuwezi kuwa limepangwa kiustadi kati ya Anwari na Zai?
Mage kaongea na Zai kumkataza kutoa taarifa zake kwa Anwari. Zai akachukia, akagomea mpaka na miadi ya kumuona Mama Miraji.
Jioni Anwari anapiga Zai kuwa mahututi. Mage analazimika kwenda kumuona shoga yake. Anwari anagharamikia matibabu ya Zai kwa malipo ya awali. Unganisha dots hapo. Anashawishiwa na Anwari amsogeze kwa kuwa tayari muda umeenda.
Anaingia kwenye gari la Anwari. Anapuliziwa madawa ya usingizi. Anwari alifanyaje? Mbona yeye hakuathirika endapo gari zima lilikuwa limepuliziwa dawa? Maana yake alishajipanga mapema. Siyo ishu ya kujiandaa ndani ya dakika chache. Na bila shaka dawa ilikuwa katika kiwango kikubwa. Masaa zaidi ya 12 baada ya mhusika kuivuta.
Je, nini kitaharakisha kifo cha Anwari?
1. Hasira ya kubakwa
2. Kumuacha mtoto usiku mzima
3. Kutoeleweka kwa Bw. Mgaya
4. Kumpanda kichwani kuhusu mtoto
Rest in Peace in Advance Anwari.
Zai to follow.
Usijali mkuu!Plz nitag namimk ikitoka nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anwari utalipa hili. Siyo siku nyingi bali hivi karibuni. Umembaka Mage? Hahaha basi naye atakutoa roho yako hivi karibuni.
Nasikitika kutangaza kifo cha Anwari mapema kuliko nilivyotegemea.
Nimefika jamani we mzee
Nipo apa Mweweso
Tanteee kipenzi nimeshafika
Nipo hapa kipenzi ndio nasomaShunie wapi ulipo??? mzee SteveMollel anafanya yake huku
[emoji23] Nacheka sanaaaDr Restart njoo Mkuu.
Duh, baada ya Mama Mkwe anayefuata ni Anwari sasa. Baadae atafuata Zai na kisha Bwana Mgaya huku Mwanga Amiri akihitimisha idadi ya watu watano.
Au Madam Beatha naye yumo kwenye list? Momo je? Tusubiri tuone.
SteveMollel twashukuru kwa Story tamu na ya kusisimua. Ila Mkuu, ngoja ngoja ya kipindi kirefu chaumiza 'Hippocampus' kukumbuka yaliyopita.
Dr Restart tuendelee kushtuana Mkuu.
Kumbe mliwahi eenh