Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mambo hayo yapo sisy..cha msingi usiache kuomba upate amani ya moyo..Acha tu sis mamkwe ananifanya naishi kama niko singo vile mshenzi sana mamkwe wangu akufwee tuu na akifa walaa sitaenda kumzika hakii naapa!