Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Huyo mamkwe wako ni muhuni mama unaanzaje kumtaftia mwanao wanawake ili hali anajua fika mwanae ameoa? Kuna mengi sana yanaendelea kati yao ila huyo mama ana tabia za kishenzi mno. Pole sana ndio mamkwe wako tayari.
Bora hata angekua muhuni mkuu!! Ni story ndefu yanii!!
Ila thanks God na mwanangu tu wazima wa Afya hili ndo la msingi na maisha lazima yaendelee!!
 
Bora hata angekua muhuni mkuu!! Ni story ndefu yanii!!
Ila thanks God na mwanangu tu wazima wa Afya hili ndo la msingi na maisha lazima yaendelee!!
Uhuni ni pamoja na tabia za aina hiyo, huyo ni muhuni ata kama angekuwa ni malaika mbinguni aketie jirani na kiti cha enzi akiimba mapambio alafu ayafanye hayo bado ningemuita muhuni tu.
 
Mage alimchelewesha kumpatia damu za next target akakosa namna!
Tena kuku wenyewe walikua matetea jamani dahh!
Kuna mamkwe wengine nuksii sana mkuu mi mwenyewe leo hii mamkwe wangu akifa nitashangiliaaa na kusherehekeaa ni ana mdomo ana gubuuu nongwa sana mfyuuu zake yule mama!
watu mna makubwa lol kumuombea mama wa mwenzio kifo siyo poa akikufa utamiss sijui utapata wapi w kumchukia,raha ya maisha uwe na wa kutifuana nae lol
 
watu mna makubwa lol kumuombea mama wa mwenzio kifo siyo poa akikufa utamiss sijui utapata wapi w kumchukia,raha ya maisha uwe na wa kutifuana nae lol
Hujakosea mkuu huo ni mtazamo wako sema nini!! Usilolijua nikama Usiku wa giza mkuu!!
 
Mage alimchelewesha kumpatia damu za next target akakosa namna!
Tena kuku wenyewe walikua matetea jamani dahh!
Kuna mamkwe wengine nuksii sana mkuu mi mwenyewe leo hii mamkwe wangu akifa nitashangiliaaa na kusherehekeaa ni ana mdomo ana gubuuu nongwa sana mfyuuu zake yule mama!
👀👀👀🏃
 
Mage alimchelewesha kumpatia damu za next target akakosa namna!
Tena kuku wenyewe walikua matetea jamani dahh!
Kuna mamkwe wengine nuksii sana mkuu mi mwenyewe leo hii mamkwe wangu akifa nitashangiliaaa na kusherehekeaa ni mnafiki nongwa sana mfyuuu zake yule mama!
Acha hzo wee Wala usisema haya waweza kufa wew ukamuacha yule mam wa watu ,na Kama Ni mchawi atakushughulikia vyema

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Amiri anatabia kama za bwana Bigi wa Goba, mambo yake ni ya usiku usiku tu kwenye viunga vya mabanda ya kuku na ng'ombe. Inaonekana huko mbeleni Amiri atakuja kuwa mtu mbadi sana aisee, ukimzingua dada Mage Amiri hakuachi upumue dakika nyingine za ziada yaani anakutoa kishipa hapo hapo.
 
Back
Top Bottom