Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kichwa cha chini ni hatariDuhh!! Kweli watu wana uthubutu!
Wanasema kikichachamaa cha juu hakifanyi kazi!Kichwa cha chini ni hatari
Kinafanya kazi baada ya tukio ila kabla ni wachache sana.Wanasema kikichachamaa cha juu hakifanyi kazi!
Wanasema hainaga mjanja hio akili inakua ishafuse!Kinafanya kazi baada ya tukio ila kabla ni wachache sana.
😁😄Wanasema hainaga mjanja hio akili inakua ishafuse!
Amiri ni mchawi tu hana ujini wowote😄 tutaona mbele hukoKuna uwezekana huyu Amiri ni Jini (Alinyonya damu za Kuku wakafa na kukauka, pia Tangu anywe damu toka kwenye pedi za Mage amejikuta anamsaidia Mage baadhi ya mikasa yake).
Zai alipopandisha mapepo yake alihisi uwepo wa mtu mbaya (Amiri) mle chumbani kwake ila Mage bila kujua alimuokoa Amiri kwa kuwahi kutuliza mapepo ya Zai kabla ajakinukisha .
Ugonjwa wa akili kweli upoMgaya ,Amiri ,Anwari na Mage wote wapumbavu tena shenzi zao kabisa.Mbwa koko.
Umeitwa kwenye hii comment ?Ugonjwa wa akili kweli upo
Mwambie bibi yako afungue forum yake ndipo ukataze watu wasiwe wana quote comments zakoUmeitwa kwenye hii comment ?
Maiti wewe .Mwambie bibi yako afungue forum yake ndipo ukataze watu wasiwe wana quote comments zako
Itakuwa mke wa bwana big weweMaiti wewe .
Sawa,umeshinda.Itakuwa mke wa big wewe
Ugonjwa wa akili Ni tatizo nnchi [emoji16][emoji16][emoji16]Mgaya ,Amiri ,Anwari na Mage wote wapumbavu tena shenzi zao kabisa.Mbwa koko.
Toka lini zainabu na anwar wakawekewa mashadaMama mkwe...Anwari.....Mgaya...zai....mdogo wa mage.
Io ni point broToka lini zainabu na anwar wakawekewa mashada
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app