Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Kuna uwezekana huyu Amiri ni Jini (Alinyonya damu za Kuku wakafa na kukauka, pia Tangu anywe damu toka kwenye pedi za Mage amejikuta anamsaidia Mage baadhi ya mikasa yake).

Zai alipopandisha mapepo yake alihisi uwepo wa mtu mbaya (Amiri) mle chumbani kwake ila Mage bila kujua alimuokoa Amiri kwa kuwahi kutuliza mapepo ya Zai kabla ajakinukisha .
 
Amiri ni mchawi tu hana ujini wowote😄 tutaona mbele huko
 
Mtu yeyote atakaye mess up na Mage basi bwana Amir lazima adeal nae..
Je, Amir naye ata mess up na Mage huko mbeleni?, nani atakaye deal na Amir baada ya kumess up na Mage?...
Tujitahidi kuwa wavumilivu, kuna mazuri yanakuja.
 
Back
Top Bottom