Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Mkuu vipi tuliza wenge, usitumie nguvu nyingi saana..Niko macho daa tisa na dakika nne usiku naona bila bila😀
Nimesikia mwizii mwizii huko nje ndani kuku wanapiga kelele hatari nikaona ngoja nitoke nje na panga langu butu labda kuna mwizi karuka fence. Hakuna mwizi upepo tu akili ikanambia Amiri anataka kunyonya kuku wamgu damu nakuja humu naona ziii😀😀😀
Watu hamchokiii.....Niko macho daa tisa na dakika nne usiku naona bila bila[emoji3]
Nimesikia mwizii mwizii huko nje ndani kuku wanapiga kelele hatari nikaona ngoja nitoke nje na panga langu butu labda kuna mwizi karuka fence. Hakuna mwizi upepo tu akili ikanambia Amiri anataka kunyonya kuku wamgu damu nakuja humu naona ziii[emoji3][emoji3][emoji3]
Arosto zinaumiza. I am a very curious person inaninyima raha kutoona mwendelezo. Ila maisha still yanasonga. .Watu hamchokiii.....
Mie huwa nazira....usiku sitaki hata kushika simu nikaangalia km imepostiwa au laaaa.....huwa nasubiri kukuche
Jana nikajiliwaza na stories za jamaa waliokutana na matukio ya kustaajabisha....at least nikatoa arosto fresh
Thanks mum, ndio nafika leoKumekuchaaa hukuu....
Bantu Lady Lovelovie Watching Kalpana leadermoe Santos06 kitalembwa mtzmweusi Lastmost Unforgettable Advicer mmash Mafian cartel Restless Hustler Mbobo Doctor G alubati Tyrone Kaijage huku kwetu iPhone 6 kitruuuu kishawekwa zamaneeee sanaa!
Tayukwa baby zu naona mshatia maguu kitrambo!!
Naomba link dear...nijitulizeWatu hamchokiii.....
Mie huwa nazira....usiku sitaki hata kushika simu nikaangalia km imepostiwa au laaaa.....huwa nasubiri kukuche
Jana nikajiliwaza na stories za jamaa waliokutana na matukio ya kustaajabisha....at least nikatoa arosto fresh
Kama demuSimulizi kama hizi huwa sizipendi mdimuliaji anajisikia kamahutaji si uache
Ni ule Uzi alianzisha Warumi?
Bonyeza vitufe hivo vitatu hpo juu utaona neno share ukiligusa neno share itakuja option ya copy and Share nearby
Nitakuw nakutag usijali wewe mmasaiNi ule Uzi alianzisha Warumi?
Hata mimi niko kitandani dearest nimechoka kusubiri. Atakayewah kuamka amwite mwenzake🙃
Aya dearHata mimi niko kitandani dearest nimechoka kusubiri. Atakayewah kuamka amwite mwenzake🙃