Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Binafsi Katika story zangu zote ambazo nimekuwa nikiweka jukwaani, huwa nasubiria pakiwa hakuna jam ya story. Hii story ambayo naandika now, niliplan kuiweka tokea last year, ila kukawa na story 2 za Steve na moja ya Umughaka. Nikabaki kuwa msomaji, sikuanzisha story.

Ugumu unaokuja, Mtu akianzisha story ambayo inaweza isha ndani ya wiki mbili, atajivuta hata mwezi, miezi au zaidi. Sijui tatizo linakuwa wapi au ndio kusaka attention. Unakuta Uzi unawachangiaji wengi, ila humo ndani yamejaa malumbano tu, story haiendelei.
Much respect sna mkuu huwa story zako nazipendaga na hazichoshi Wala kumpoteza muda Ni wazi sas kina umughaka wakuige wew

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mgaya aliendelea kusema akiwa ananiniga shingo, anamtaka mwanae, anamtaka mwanae, hapo mimi sijui chochote kilichotokea, sijui chochote kinachoendelea zaidi ya njozi ile ya maajabu.

Kumekuchaaa, kumekuchaaa (kwa sauti ya mzee Majuto)
 
Back
Top Bottom