Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Watu wote humu tukiungana Kisha tukamvaa vikali mleta Uzi huu am sure had ijumaa Hadith hi itakuwa imekwisha kbsa ,
Kama ameshindwa kuwazilisha aweke in summary tumalizane hapa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]kumvaa kama niniPoa,ila tatizo ni nani atakubali kumvaa kama chupi?
Ngoja tutafute solution ya ilo jambo mkuu 😅😅Kweli hata kubanwa ndio mtu atupeleke miezi miatatu Hadi minne
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
MmhUtamu wa hadithi iwe bandika bandua!!
kipindi hicho unamvaa ni baada ya kumlipa kiasi gani?Watu wote humu tukiungana Kisha tukamvaa vikali mleta Uzi huu am sure had ijumaa Hadith hi itakuwa imekwisha kbsa ,
Kama ameshindwa kuwazilisha aweke in summary tumalizane hapa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
kipindi hicho unamvaa ni baada ya kumlipa kiasi gani?
Mtu anatumia bundle lake mwenyewe na muda wake mwenyewe halafu unashupaza shingo kama unamlipa.
Mkuu ngoja niwaachie uzi wenu jamaa anajisikia na kuona Raha kurefusha story bila sababu za msingiUzi umidorora
Ngoja dr namugari aje
kwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??kipindi hicho unamvaa ni baada ya kumlipa kiasi gani?
Mtu anatumia bundle lake mwenyewe na muda wake mwenyewe halafu unashupaza shingo kama unamlipa.
Basi sawakwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??
siku hizi amebadilika sana, kibri kipo juu ya uwezo wake, zaman hakua hivi, mimi ni miongoni mwa watu waliotuma sana story humu sikuwahi kukawiza sababu najua unapomkawiza mtu anasahau hata wahuska ni nani inabidi aanze kurecall story upya, sio vizur
Nakwabia baadhi ya sisi Watanzania roho ya kutu sana, sasa kama ni story ya kweli au kitunga kwani tatizo ni nini - whatever the case mleta kisa hiki yuko talented sana, anajua sana kujieleza - sasa kuna baadhi ya binadamu ni ma sadists tu, kuwakatisha tamaa wenzao wakati wao huo uwezo wa kujieleza vizuri hawana hata chembe - nawashangaa sana hata wale wanao support such weird comments za kuwakatisha watu tamaa.Ila kuna mijitu inapenda sifa za kingese. Kama unajua sana kukosoa kwanini usiandike kisa chako.
Ukute ushashiba kiporo cha ubwabwa na maharage, upo sebuleni kwa shemeji yako na kibukta unavizia housegal akienda kuoga upige chabo maana hawezi kukupa papa akijua ni kapuku unaishi kwa nguvu ya kiuno cha dada yako.
Stivu tuna arosto karee sana hukuuuu
Anapenda sn kuitwa itwa km mtoto wa kike[emoji144]Mkuu ngoja niwaachie uzi wenu jamaa anajisikia na kuona Raha kurefusha story bila sababu za msingi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Inashauriwa Kunywa maji mengi kupunguza arosto 🤣Stivu tuna arosto karee sana hukuuuu
Ni huzuni kwakweli😂Inashauriwa Kunywa maji mengi kupunguza arosto 🤣
Nishamaliza lita 20 per day
Next time tumpigie kura kwa wingi aibuke kidedea...labda kanunaaaaaaaaakwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??
siku hizi amebadilika sana, kibri kipo juu ya uwezo wake, zaman hakua hivi, mimi ni miongoni mwa watu waliotuma sana story humu sikuwahi kukawiza sababu najua unapomkawiza mtu anasahau hata wahuska ni nani inabidi aanze kurecall story upya, sio vizur
mwanaume hua hanuni bwanaNext time tumpigie kura kwa wingi aibuke kidedea...labda kanunaaaaaaaaa