Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Watu wote humu tukiungana Kisha tukamvaa vikali mleta Uzi huu am sure had ijumaa Hadith hi itakuwa imekwisha kbsa ,

Kama ameshindwa kuwazilisha aweke in summary tumalizane hapa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
kipindi hicho unamvaa ni baada ya kumlipa kiasi gani?

Mtu anatumia bundle lake mwenyewe na muda wake mwenyewe halafu unashupaza shingo kama unamlipa.
 
Wewe uhuru na umoja, ila unasemea uhuru tuu, tunakata umoja pia,Steve ajitahidi akuje leta story hii
 
kipindi hicho unamvaa ni baada ya kumlipa kiasi gani?

Mtu anatumia bundle lake mwenyewe na muda wake mwenyewe halafu unashupaza shingo kama unamlipa.
kwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??

siku hizi amebadilika sana, kibri kipo juu ya uwezo wake, zaman hakua hivi, mimi ni miongoni mwa watu waliotuma sana story humu sikuwahi kukawiza sababu najua unapomkawiza mtu anasahau hata wahuska ni nani inabidi aanze kurecall story upya, sio vizur
 
Basi sawa
 
Ila kuna mijitu inapenda sifa za kingese. Kama unajua sana kukosoa kwanini usiandike kisa chako.

Ukute ushashiba kiporo cha ubwabwa na maharage, upo sebuleni kwa shemeji yako na kibukta unavizia housegal akienda kuoga upige chabo maana hawezi kukupa papa akijua ni kapuku unaishi kwa nguvu ya kiuno cha dada yako.
Nakwabia baadhi ya sisi Watanzania roho ya kutu sana, sasa kama ni story ya kweli au kitunga kwani tatizo ni nini - whatever the case mleta kisa hiki yuko talented sana, anajua sana kujieleza - sasa kuna baadhi ya binadamu ni ma sadists tu, kuwakatisha tamaa wenzao wakati wao huo uwezo wa kujieleza vizuri hawana hata chembe - nawashangaa sana hata wale wanao support such weird comments za kuwakatisha watu tamaa.
 
kwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??

siku hizi amebadilika sana, kibri kipo juu ya uwezo wake, zaman hakua hivi, mimi ni miongoni mwa watu waliotuma sana story humu sikuwahi kukawiza sababu najua unapomkawiza mtu anasahau hata wahuska ni nani inabidi aanze kurecall story upya, sio vizur
Next time tumpigie kura kwa wingi aibuke kidedea...labda kanunaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom