YAnakera sana mtu hujaombwa umejipemdekeza kuleta uongo wako humu kwa kukuhurumia tunakusapot af unaleta za kisengerema
Kwan mwanzo alikuwa hana shuhuli zake, mbon alikuwa analeta vzr, now anaringa, atoe taarifa sasaJamani hivi mnataka steve aache shughuli zake za kumuingizia kipato ili muda huo autumie hapa kuwaburudisha nyie waja? Yeye ni mtu mzima na anajua hajamaliza hadithi lakini kuna maisha nje ya jf huwezi kujua anapitia changamoto gani, tuwe wavumilivu.
Hakuna alomwambia aache shughuli zake,kwani kabla ya apo hakua na kazi? mbona riwaya ya "njia nyembamba" ina miaka kibao hajaimaliza,pia ile ya "tukibaki hai tutasimulia"?ni upumbavu tuJamani hivi mnataka steve aache shughuli zake za kumuingizia kipato ili muda huo autumie hapa kuwaburudisha nyie waja? Yeye ni mtu mzima na anajua hajamaliza hadithi lakini kuna maisha nje ya jf huwezi kujua anapitia changamoto gani, tuwe wavumilivu.
Vumilieni jamani atarudi tu na visirani na alosto vitawaishaHakuna alomwambia aache shughuli zake,kwani kabla ya apo hakua na kazi? mbona riwaya ya "njia nyembamba" ina miaka kibao hajaimaliza,pia ile ya "tukibaki hai tutasimulia"?ni upumbavu tu
Mdeceni Ni mnafiki Sana.Kwan mwanzo alikuwa hana shuhuli zake, mbon alikuwa analeta vzr, now anaringa, atoe taarifa sasa
Amaa kuna watu wanajua kuringa humu duniani, doh
Umeonaa?
Kama kweli SteveMollel huwa humalizi simulizi zako basi wewe ni Msimuliaji wa hovyo Kuwai kutokea Jf,pia naanza kupuuza Thread zako...
Hii ndo dawa yake mtu ana pigo za kidemu kuringa kutaka kubembelezwa na sasa tupo kwenye kampeni ya.....af ye analeta pigo hziHivi wote tukisema hivi nini kitatokea!?Ila jamaa huenda ikawa anazingua kweli daah!
We mnunua vitabu uku umefata nini?[emoji854]Punguzeni jazba, kama mnapenda sana story kanunueni vitabu msome.
Khawa ndo walewale mkuuWe mnunua vitabu uku umefata nini?[emoji854]
Kudo yule ana pitia magumu usi muhukumu! Bishop na Ck kongole kwao wale hawana kona konaHii tabia ya kuachia hadithi njiani kuna kisirani mmoja ndio aliianzisha anajiita Kudo.
Yupo jamaa mmoja smart sana kwenye simulizi zake anaitwa Bishop Hiluka yule namuaminia sana.