Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Jamani hivi mnataka steve aache shughuli zake za kumuingizia kipato ili muda huo autumie hapa kuwaburudisha nyie waja? Yeye ni mtu mzima na anajua hajamaliza hadithi lakini kuna maisha nje ya jf huwezi kujua anapitia changamoto gani, tuwe wavumilivu.
 
Kwan mwanzo alikuwa hana shuhuli zake, mbon alikuwa analeta vzr, now anaringa, atoe taarifa sasa
 
Jamani hivi mnataka steve aache shughuli zake za kumuingizia kipato ili muda huo autumie hapa kuwaburudisha nyie waja? Yeye ni mtu mzima na anajua hajamaliza hadithi lakini kuna maisha nje ya jf huwezi kujua anapitia changamoto gani, tuwe wavumilivu.
Hakuna alomwambia aache shughuli zake,kwani kabla ya apo hakua na kazi? mbona riwaya ya "njia nyembamba" ina miaka kibao hajaimaliza,pia ile ya "tukibaki hai tutasimulia"?ni upumbavu tu
 
Vumilieni jamani atarudi tu na visirani na alosto vitawaisha
 
Hivi wote tukisema hivi nini kitatokea!?Ila jamaa huenda ikawa anazingua kweli daah!
Hii ndo dawa yake mtu ana pigo za kidemu kuringa kutaka kubembelezwa na sasa tupo kwenye kampeni ya.....af ye analeta pigo hzi
 
Punguzeni jazba, kama mnapenda sana story kanunueni vitabu msome.
 
Hii tabia ya kuachia hadithi njiani kuna kisirani mmoja ndio aliianzisha anajiita Kudo.
Yupo jamaa mmoja smart sana kwenye simulizi zake anaitwa Bishop Hiluka yule namuaminia sana.
Kudo yule ana pitia magumu usi muhukumu! Bishop na Ck kongole kwao wale hawana kona kona
 
Back
Top Bottom