Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Hii comment yangu ya mwisho, steve ni muoga na anapenda attention simulizi za kwanza alikua anamaliza as hakukua na wasimuliaji wengi kama sasa, so now hes being challenged watu huku na huko na kule wanatoa vitu konki ameingia uoga wa kushindwa not knowing haya si mashindano ndo mana utaona hes online reading and not responding hiyo ni reverse saikoloji ndo anaiaply hapa..am out
 

Njoeni huku achaneni na arosto
 
Chanzo cha hadithi kimepotea unategemalea Steve alete episode toka wapi.!?
 
Sante mkuu
 
Hello guys, natumai mnaendelea vema.


Kwa upande wangu wiki hii na ile ilopita hazikuwa nzuri sana kwani wiki ilopita tulikuwa tunapambana na kuuguza na wiki hii tulikuwa tunapambana na msiba wa mama yangu mkubwa, mwanamke aliyenilea na kunienzi kama mtoto wa kutoka tumboni mwake na hivyo sikumtambua kwa kumuita mama mkubwa bali mama kama mama.


Amesumbuliwa vibaya mno na sukari pia presha, tukahangaika hospitali ya Kitengule, Lugalo kisha Muhimbili na hatimaye kuhamishiwa Mloganzila ambako ndipo alipofia.


Nashukuru tumemaliza salama shughuli ya msiba hapa Mbezi beach, tukasafiri salama kwenda Kilimanjaro alipozikiwa na tumerudi salama hapa Dar.


Zilikuwa ni siku 'tough' lakini hakuna kinachodumu, nazo zilipita.


Samahani kwa kuwakwaza popote pale, haikuwa kusudi langu. Nami sijabeba kebehi wala shutuma zozote kutoka humu ndani maana usilolijua litakusumbua, na nafahamu sisi watu ni wazuri sana kwenye kutoa hukumu tusijue tunatofautiana viatu tunavyovaa.


Pasaka njema.
 
Daaah pole sana mkuu..,
 
Pole mpendwa Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Steve
 
Steve kwanza pole lakini lets call spade spade kwanini hukuandika haya mapema kabisa? U were here reading all this ungeweza kuandika mistari mitatu tu. Watz tuna huruma upendo na umoja mbona ungeeleweka na we would be checking on your howabouts while giving u all the time.....anyways ......
 
pole sana Steve
 
Majitu ya humu ni ya hovyo sana, yamepata aibu yameingia mitini, pumbvu kabisa .

Pole sana mkuu.

Shika kwenye mshono, usilete story mpaka siku 40 zipite
 
Punguza umburula, mwenzio alikua na majanga .

Unawaza kwa kutumia mpododu wa kwenye avatar yako sio
 
Kimbia tusikuone ss tutaendeleaa kumlalamikia na kumpa matusi had ajitokeze

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Asie pole Sana kijan mnk watu walisema uko na unaonekana kwenye majukwa ya michezo ndio maana tuliendelea kukupopoa [emoji41]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…