Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2]We mnunua vitabu uku umefata nini?[emoji854]mbona unatikisa makalio mbele ya wanaume...
Mkuu kwani Kudo ana magumu gani kwa sasaKudo yule ana pitia magumu usi muhukumu! Bishop na Ck kongole kwao wale hawana kona kona
Hii comment yangu ya mwisho, steve ni muoga na anapenda attention simulizi za kwanza alikua anamaliza as hakukua na wasimuliaji wengi kama sasa, so now hes being challenged watu huku na huko na kule wanatoa vitu konki ameingia uoga wa kushindwa not knowing haya si mashindano ndo mana utaona hes online reading and not responding hiyo ni reverse saikoloji ndo anaiaply hapa..am out
Sante mkuuHadithi: Madam President
Mtunzi ni CK Allan Madam President Juni 1998 Ilikua jioni nzuri kabisa ambapo sehemu mbali mbali za jiji la Tanga Kuna Hali ya baridi na mvua nyepesi zilikua zimeanza, nikiwa na Rafiki yangu Jacob tulikua mwisho kabisa ya mstari kuingia kwenye Basi la shule tayari kwenda Tanga mjini ambapo...www.jamiiforums.com
Njoeni huku achaneni na arosto
Daaah pole sana mkuu..,Hello guys, natumai mnaendelea vema.
Kwa upande wangu wiki hii na ile ilopita hazikuwa nzuri sana kwani wiki ilopita tulikuwa tunapambana na kuuguza na wiki hii tulikuwa tunapambana na msiba wa mama yangu mkubwa, mwanamke aliyenilea na kunienzi kama mtoto wa kutoka tumboni mwake na hivyo sikumtambua kwa kumuita mama mkubwa bali mama kama mama.
Amesumbuliwa vibaya mno na sukari pia presha, tukahangaika hospitali ya Kitengule, Lugalo kisha Muhimbili na hatimaye kuhamishiwa Mloganzila ambako ndipo alipofia.
Nashukuru tumemaliza salama shughuli ya msiba hapa Mbezi beach, tukasafiri salama kwenda Kilimanjaro alipozikiwa na tumerudi salama hapa Dar.
Zilikuwa ni siku 'tough' lakini hakuna kinachodumu, nazo zilipita.
Samahani kwa kuwakwaza popote pale, haikuwa kusudi langu. Nami sijabeba kebehi wala shutuma zozote kutoka humu ndani maana usilolijua litakusumbua, na nafahamu sisi watu ni wazuri sana kwenye kutoa hukumu tusijue tunatofautiana viatu tunavyovaa.
Pasaka njema.
Pole mpendwa Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumuHello guys, natumai mnaendelea vema.
Kwa upande wangu wiki hii na ile ilopita hazikuwa nzuri sana kwani wiki ilopita tulikuwa tunapambana na kuuguza na wiki hii tulikuwa tunapambana na msiba wa mama yangu mkubwa, mwanamke aliyenilea na kunienzi kama mtoto wa kutoka tumboni mwake na hivyo sikumtambua kwa kumuita mama mkubwa bali mama kama mama.
Amesumbuliwa vibaya mno na sukari pia presha, tukahangaika hospitali ya Kitengule, Lugalo kisha Muhimbili na hatimaye kuhamishiwa Mloganzila ambako ndipo alipofia.
Nashukuru tumemaliza salama shughuli ya msiba hapa Mbezi beach, tukasafiri salama kwenda Kilimanjaro alipozikiwa na tumerudi salama hapa Dar.
Zilikuwa ni siku 'tough' lakini hakuna kinachodumu, nazo zilipita.
Samahani kwa kuwakwaza popote pale, haikuwa kusudi langu. Nami sijabeba kebehi wala shutuma zozote kutoka humu ndani maana usilolijua litakusumbua, na nafahamu sisi watu ni wazuri sana kwenye kutoa hukumu tusijue tunatofautiana viatu tunavyovaa.
Pasaka njema.
Pole sana SteveHello guys, natumai mnaendelea vema.

Steve kwanza pole lakini lets call spade spade kwanini hukuandika haya mapema kabisa? U were here reading all this ungeweza kuandika mistari mitatu tu. Watz tuna huruma upendo na umoja mbona ungeeleweka na we would be checking on your howabouts while giving u all the time.....anyways ......Hello guys, natumai mnaendelea vema.
Kwa upande wangu wiki hii na ile ilopita hazikuwa nzuri sana kwani wiki ilopita tulikuwa tunapambana na kuuguza na wiki hii tulikuwa tunapambana na msiba wa mama yangu mkubwa, mwanamke aliyenilea na kunienzi kama mtoto wa kutoka tumboni mwake na hivyo sikumtambua kwa kumuita mama mkubwa bali mama kama mama.
Amesumbuliwa vibaya mno na sukari pia presha, tukahangaika hospitali ya Kitengule, Lugalo kisha Muhimbili na hatimaye kuhamishiwa Mloganzila ambako ndipo alipofia.
Nashukuru tumemaliza salama shughuli ya msiba hapa Mbezi beach, tukasafiri salama kwenda Kilimanjaro alipozikiwa na tumerudi salama hapa Dar.
Zilikuwa ni siku 'tough' lakini hakuna kinachodumu, nazo zilipita.
Samahani kwa kuwakwaza popote pale, haikuwa kusudi langu. Nami sijabeba kebehi wala shutuma zozote kutoka humu ndani maana usilolijua litakusumbua, na nafahamu sisi watu ni wazuri sana kwenye kutoa hukumu tusijue tunatofautiana viatu tunavyovaa.
Pasaka njema.
Endeleeni kutukana tu hivi hamujui kama watu wanakumbwa na changamoto tofauti tofauti?Daaah pole sana mkuu..,
pole sana SteveHello guys, natumai mnaendelea vema.
Kwa upande wangu wiki hii na ile ilopita hazikuwa nzuri sana kwani wiki ilopita tulikuwa tunapambana na kuuguza na wiki hii tulikuwa tunapambana na msiba wa mama yangu mkubwa, mwanamke aliyenilea na kunienzi kama mtoto wa kutoka tumboni mwake na hivyo sikumtambua kwa kumuita mama mkubwa bali mama kama mama.
Amesumbuliwa vibaya mno na sukari pia presha, tukahangaika hospitali ya Kitengule, Lugalo kisha Muhimbili na hatimaye kuhamishiwa Mloganzila ambako ndipo alipofia.
Nashukuru tumemaliza salama shughuli ya msiba hapa Mbezi beach, tukasafiri salama kwenda Kilimanjaro alipozikiwa na tumerudi salama hapa Dar.
Zilikuwa ni siku 'tough' lakini hakuna kinachodumu, nazo zilipita.
Samahani kwa kuwakwaza popote pale, haikuwa kusudi langu. Nami sijabeba kebehi wala shutuma zozote kutoka humu ndani maana usilolijua litakusumbua, na nafahamu sisi watu ni wazuri sana kwenye kutoa hukumu tusijue tunatofautiana viatu tunavyovaa.
Pasaka njema.
Hello guys, natumai mnaendelea vema.

Punguza umburula, mwenzio alikua na majanga .Bora hata wew una akili ,HV tuvijana vileta story vinaanza kujimwambafai kujidai viko busy na kaz na kuzingizia kutingwa na kuzingizia kutingwa hili halikubaliki Ni ujinga na Ni upuuzi kuwaendekeza HV tuvijana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kimbia tusikuone ss tutaendeleaa kumlalamikia na kumpa matusi had ajitokezeHii comment yangu ya mwisho, steve ni muoga na anapenda attention simulizi za kwanza alikua anamaliza as hakukua na wasimuliaji wengi kama sasa, so now hes being challenged watu huku na huko na kule wanatoa vitu konki ameingia uoga wa kushindwa not knowing haya si mashindano ndo mana utaona hes online reading and not responding hiyo ni reverse saikoloji ndo anaiaply hapa..am out
Asie pole Sana kijan mnk watu walisema uko na unaonekana kwenye majukwa ya michezo ndio maana tuliendelea kukupopoa [emoji41]Hello guys, natumai mnaendelea vema.