Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Dr Steven Molle anazingua kautelekeza uzi wake wa hadith kule, kamlete basi aendelee
 
Hizi story za kutunga ambazo huwa mnalazimisha kusema ni kweli ukifikia hatua flani zinakuwa ngumu sana kuendeleza. Hapo mtunzi huanza kukimbia kimbia na kutoa udhuru. Unamwona kabisa yumo humu anasoma tu comments ila anakuambia hivi na vile. Yaani ili mradi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…